Tumekusikia sasa jibu swaliwewe kama unataka kumwaga marinda yako sema...mbona wa kuyatatua wapo wengi.
Achana na story za mimi au wewe hazina faida,,,turudi kwenye mada ya story za mtume wetu mohammad, marinda alikuwa nayo kweli?
Anayeongea kwenye hizo aya ulizoleta ni Nani?Mbongo, Tz, katika ubora wake na ID mpya. Chupa ni mpya Mvinyo ni ile ile.
Nchi zinazo lazimisha wananchi wake kufuata sharia za kiislamu hazikaliki, zinakiuka haki za binadamu.
Hivyo raia wa nchi hizo wanakimbilia ktk nchi zinazoheshimu haki za binadamu.
Karibuni kwa Yesu Kristo maana Yeye alisema
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
{baadhi ya mizigo ni Sharia za Kiislam}
Mathayo 11:29
Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Mathayo 11:30
kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
{Amri za Yesu Kristo ni nyepesi kuzifuata 1. Mpende Mungu, 2.Mpende jirani, hata akiwa shoga na sio kumchinja kama Sharia inavyopendekeza}
Mathayo 5:43
Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
Mathayo 5:44
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
Mathayo 5:45
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Marko 12:30
nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.
Marko 12:31
Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.
{Mwenye macho ameona, Mwenye masikio amesikia}
Ndio ni Nani.Anayeongea kwenye hizo aya ulizoleta ni Nani?
Ndio ni Nani ndiye aliandika mathayo Na MarkoNdio ni Nani.
Ni huyo Nani uliyemtaja.Ndio ni Nani ndiye aliandika mathayo Na Marko
Ni huyo Nani uliyemtaja.
Unauliza nini tena.
Mathayo na Marko.Na huyo pia kaandika Mathayo Na Marko?
Mathayo na Marko.
umepatia kabisa
sawa sawa.
Basi soma injiri ya kweli iliyopo kwenye Qurani tukufu.Zawadi yako ya kirisimaaasi in advance pokea hii
Anaajiyl
Aramai ilikuwa ndio lugha iliyokuwa ikitumiwa na Mayahudi huko Palestina. Kwa hiyo, inaaminika kuwa Yesu na wanafunzi wake walizungumza na kufundisha kwa Kiaramai.
“Simulizi za kwanza ya mdomo za matendo ya Yesu na kauli zake bila shaka zilisambaa kwa Kiaramai.
Hata hivyo, Injili nne ziliandikwa kwa ukamilifu wake kwa maneno mengine, Kiyunani ya kawaida, lugha iliyokuwa ikitumika katika dunia ya Kistaarabu ya Mediterania, ili kutumikia wengi katika Kanisa, ambayo ilikuwa ni ya Kiyunani (wenye kuzungumza Kigriki) badala ya Kipalestina.
Mabaki ya Kiaramai yalikuwepo katika Anaajiyl za Kiyunani.
Kwa mfano, katika Marko 5: 41, “Kisha akamshika mkono, akamwambia, ‘Tal’itha cu’mi’, maana yake, ‘Msichana mdogo, nakuambia amka’”.
Pia Marko 15: 34: “Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, ‘Eloi, Eloi, lama sabachthani?’ maana yake, ‘Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?’” (Encyclopedia Americana, Mj. 3, uk. 654).
Basi soma injiri ya kweli iliyopo kwenye Qurani tukufu.
Naskia humo imeandikwa kwa usahihi kabisa.
Naskia imetamkwa na Allah mwenyewe neno kwa neno.
Au sio Sheikhe.
Allah anajua zaidi,Injiri ni kitu gani?
Allah anajua zaidi,
Soma kitabu chake alicho mkabidhi Mtume Muhammad (puh) kitakujulisha maana ya Injiri.
Soma Shekhe katu usikubali kuitwa maamuma.
Shehe ambaye hana habari kuwa kuna vitabu vya Kinabii kama Torati, Zaburi na Injiri.Kumbe wewe unaandika kitu hata hukijui , au ndivyo Roho Mtakatifu wako anavyokutekenya uandike lugha Za maajabu
Nani kasema injiri ni kitabu cha kinabiiShehe ambaye hana habari kuwa kuna vitabu vya Kinabii kama Torati, Zaburi na Injiri.
Nadhani hana hadhi ya kujumuishwa kwenye mijadala ya dini na imani.
mbumbumbu hana alijualo na hana mda wa kutaka kujua.
Ni heri kuzungumza na MTU asiyejua na anajua kuwa hajui.Nani kasema injiri ni kitabu cha kinabii
Hayo maneno yako ndiye mtu aliyesema injiri ni kitabu cha kinabii?Ni heri kuzungumza na MTU asiyejua na anajua kuwa hajui.
Kuliko MTU ambaye hajui na hajui kuwa hajui.
Ni kupoteza muda tu.
Hueleweki unacho uliza mala uulize hili mala lile.Hayo maneno yako ndiye mtu aliyesema injiri ni kitabu cha kinabii?
Hueleweki unacho uliza mala uulize hili mala lile.
Hebu tulia na nikusikilize mara ya mwisho.
Swali lako ninini ?