Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hayo ni matukio ya vikundi vya dini tu na sio maisha ya jumla ya watu. kama hapa Tanzania ukileta video zake atakamatwa na kufunguliwa mashtaka.
Kwenye hoja.
Binafsi nawakubali sana Waislamu wa Jumuiya ya Ahammadiya.
Wanauelewa Uislamu vizuri sana, hawana Jazba, hawana kulazimishana maisha ya Sharia.
Wa Jumuiya ya Ahammadiya nawaona kama waislamu waliostaarabika vya kutosha katika kuishi na jamii zisizo za kiislamu.
Kama Gullam Mahdi wa Qardian India, alihusika katika kuanzisha hii jumuia hakika yeye anastahiri kuitwa Nabii wa Waislamu.
Ameanzisha Uislamu unaoangalia Upendo na mshikamano wa amani baina ya Waislamu. Na pia mahusiano mazuri na wasio Waislamu.
Mi nimewafuatilia sana Waahamadiya na nimejiridhisha kuwa unafundisha maisha yanayo endana na wakati uliopo.
Pongezi kwa hiyo hatua ndugu Mokaze, Allah aendelee kukufunulia yaliyo mema.
Ukitaka mafundisho safi ya dini kiisilamu unaweza kuyapata ndani ya Jumuiyya ya Waisilamu wa Ahmadiyya tu, ni mafundisho yale yale aliyofundisha Mtukufu mtume Muhammad (saw), kwa maneno mengine ile imani ya dini ya kiislamu iliyopotea imerudishwa tena duniani na Hadhrat Ahmad (as), nje ya Jumuiya hii hakuna bali kilichopo ni Uisilamu uliochafuliwa na Waisilamu-jina na ndio maana unakuta wametokea akina ISIS, Alshabab, Taliban, Bokoharam, Alqaida nk, makundi yote hayo yanajinasibisha na mtukufu Mtume Muhammad (saw) na Uisilamu wakati matendo yao ni ya kikatili na kinyama dhidi ya binadamu kinyume na mafundisho ya mtume (saw) na Qur'an , haya makundi na Masheikh wenye siasa kali wasiojua mafundisho Uisilamu vyema ndio chanzo cha mifarakano na magomvi miongoni mwa Umma wa Waisilamu na hata kuleta tafrani kwa wasiokuwa Waisilamu.
Mtume mtukufu (saw) katika moja ya Hadithi alipata kusema: "Umati wangu utagawanyika katika makundi 73 yote yataingia motoni ila kundi moja.", masahaba wamuuliza; ni kundi gani hilo??, akajibu; "lile litakalo kuwa kama mimi na masahaba zangu"---- Sasa tafuta katika madhehebu yote ya Waisilamu leo ni dhehebu gani lenye imamu na linafuata mila za Mtume (saw) na masahaba zake??, ni dhehebu lipi linapingwa na madhehebu mengine YOTE kwa Pamoja??, Shia, Answar sunna, Sunni, Barweli, Deobabd, Bohora, Ismailia nk, hayo madhehebu wao kwa wao ni maadui lakini Wakitokea Ahmadiya mbele yao maramoja huuangana kuwa kitu kimoja dhidi ya Ahmadiyya, wamejaribu na Wanaendelea kujaribu kuifuta Ahmadiyya kwa hali na mali wameshindwa kabisa na baadhi yao wamediriki kukiri hadharani kwamba kuifuta Ahmadiyya HAIWEZEKANI, Ahmadiyya ni Jumuiya ya Waisilamu iliyoanzishwa na Hadhrat Ahmad (as) nabii kwa Amri ya Mungu na Mungu alimfunulia Wahya Hadhrat Ahmad (as) katika lugha ya Kiurdu akimwambia kwamba : "Mimi nitafikisha Ujumbe wako katika kila pembe ya dunia" (ujumbe ni mahubiri ya kiisilamu). Leo hii kila mwaka duniani kote wanajiunga watu zaidi ya 600,000, ni jumuiya ya kidini inayokuwa kwa kasi KULIKO madhehebu ya dini zote duniani jambo ambalo linawafanya maadui wa hii jumuiya kuzidi kupata hofu, uadui na kukereheka mioyoni, jambo hili linazidi kututia moyo kwani hakuna nabii aliyefanya kazi ya Mungu kirahisi, historia inaonyesha manabii wote walipata shida kutoka kwa wapinzani na hatimaye walifaulu na wapinzani wakaangamizwa au wakakubali haki.
Jumuiya hii imekusanya watu wa nyanja zote za maisha na watu wa mataifa mbalimbali watu wa rangi zote na jumuiya hii imetapakaa karibu katika kila kona ya dunia, ni jumuiya iliyotafsiri Qur'an tukufu katika lugha zote kuu za dunia ni kazi ambayo haijafanywa na dhehebu lolote wa kiisilamu, majarida na vitabu na magazeti kwa maelfu huchapwa kila mwaka kutangaza ujumbe wa UISILAMU SAFI duniani pote, kazi hii kubwa hupata fedha kutokana na michango ya fedha na kujitolea kwa wanajumuiya wenyewe, wanajuiya tunayoshauku kubwa kujitolea kwa ajili ya kazi ya Mungu, you can't find such spirit from the other muslim sects, they don't have such spirit, to them terrorism, radicalism and associate others with infidelity are their spirits.---- they spit harsh words against other peoples as if they are clean hearted and already have tickets in hand to go to heaven.
Kifupi ni kwamba kazi kubwa ya aina hii inayofanywa na Jumuiya ya Ahmadiyya yenye matokeo chanya na baraka, inayowashangaza watu kamwe haiwezi kuwa imeanzishwa na mtu Muongo kwani Qur'an Unasema wadhalimu hawawezi kufanikiwa na Allah humuangamiza mzushi, humuangamiza mzushi ili asiwadanganye watu kwa uzushi wake na kuwapoteza.
Mkuu, Che mittoga wewe ni miongoni mwa watu wema mliopo duniani, kukiri na kuandika ukweli hadharani juu ya Jumuiya ya Ahmadiyya inahitaji moyo na nguvu kutoka kwa Mungu, na hilo limedhihirisha wema wako, nadhani wewe mwenyewe umeshuhudia jinsi ninavyopingwa kila ninapojitahidi kuwaelewesha hawa ndugu zangu wa kiisilamu basi hali ni mbaya zaidi huko Pakistani ambako Waahmadiyya wanapata madhila ya kutisha kama kuteswa, kuuawa, kufungwa gerezani nk, kutoka kwa hao masheikh na Wafuasi wao, licha ya hali zote hizo Jumuiya inapitia lakini watu wanazidi kujiunga sana. "Sifa zote njema zinamuhusu Mungu anayetuwezesha kututia nguvu kufanya kazi yake kwani bila ya Yeye Jumuiya hii ingeishia kijijini Qadiani na hadi leo ingebakia historia tu kwamba katika mwaka 1894 huko Qadian alitokea mtu mmoja anayeitwa Ahmad (Mirza Ghulam Ahmad) aliyejitangaza kwamba yeye ni Masihi na Iman mahd na nabii Mfuasi wa Mtume (saw), kinyume chake leo Historia inamuandika kwamba ni mtu aliyeanzisha Jumuiya ya kiislamu inayokua kwa kasi kubwa kuliko madhehebu ya DINI zote duniani,
In a shor time to come the whole world will be Ahmadis muslims--- and filled with genuine Muslims from the west to the East and finally to the South.
Mungu akubariki sana mkuu kukiri ukweli wa hali ya Jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya ukweli ambao maadui hawapendi kuusikia na kuukubali.