Why mwamuzi kapuliza filimbi kabla ya dakika kuisha?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!

SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
1750870806571.jpg

Kwa kawaida ikiwa timu unazochezesha moja ikawa imefungwa mabao ambayo huoni yakirudi au unaona kwa muda huo uliobaki wanachezewa sana mpira mwamuzi anaruhusiwa kumaliza mapema ili kulinda heshima ya timu.

Rejea mchezo wa HISPANIA vs ITALIA 2012

Rejea mchezo wa PSG vs INTER MILAN juzi kwenye fainali ya UEFA

FT’ Yanga 2 vs 0 Simba

YANGA BINGWA MARA 31
 
View attachment 3382960

Hakutaka zifike 5.
 
Nimeumia sana, huo muda tungewapiga chuma cha tatu. Dk mbili na nusu ni nyingi mno.
 
Back
Top Bottom