Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Ila pacome ni mwanaume na nusu yule jamaaHuyu Mtoa Uzi alikua haooni wakat huo kashachanganikiwa na Goli
Ila pacome ni mwanaume na nusu yule jamaaHuyu Mtoa Uzi alikua haooni wakat huo kashachanganikiwa na Goli
Mtoa Uzi hakua na muda wakuangalia bango la Azam lilipoteana wapi 🤣Iko hivi dakika 5 alizoonyesha Azam zilikosewa kwenye graphics
Kwakuwa angetoa muda zaidi ingekuwa hammsaWatu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
View attachment 3382960
Kwa kawaida ikiwa timu unazochezesha moja ikawa imefungwa mabao ambayo huoni yakirudi au unaona kwa muda huo uliobaki wanachezewa sana mpira mwamuzi anaruhusiwa kumaliza mapema ili kulinda heshima ya timu.
Rejea mchezo wa HISPANIA vs ITALIA 2012
Rejea mchezo wa PSG vs INTER MILAN juzi kwenye fainali ya UEFA
FT’ Yanga 2 vs 0 Simba
YANGA BINGWA MARA 31
Wala hata sio hivyo, Sheria za fifa zinampa mwamuzi wa kati mamlaka ya dakika za nyongeza, dakika ziliongezwa Tano, zikachezwa tatu, Simba alikua anatafuta goli 3 kwenye dakika mbili tena za nyongeza, busara inatumika tuWaamuzi walikuwa mbele ya Azam
Sema tu jamaa wamenyoka kinoma
Hongera kwao
Kunishambulia kwa sababu hiyo ndogo inaonesha kuwa haujapenda kuona uzi 😃 ungepita tu 😃 Mkuu sio kila cha kukosoa basi kinatakiwa kukosolewa! Hongera kwako uliyefuatilia kila kituMtoa Uzi hakua na muda wakuangalia bango la Azam lilipoteana wapi 🤣
Watu wanalaumu Azam wakati mwongozo wa Mwamuzi unamruhusu kufanya hivyo 😃 tatizo tumeshaona wakina Tatu Malogo, Kayoko na Kayombo wakichezesha dakika 6 😃Wala hata sio hivyo, Sheria za fifa zinampa mwamuzi wa kati mamlaka ya dakika za nyongeza, dakika ziliongezwa Tano, zikachezwa tatu, Simba alikua anatafuta goli 3 kwenye dakika mbili tena za nyongeza, busara inatumika tu
Rejea mechi ya psg vs inter fainali ucl refa alipuliza kipenga dakika ya 89:56
Mtu ushafungwa 5-0 extra time ya nini hasa
Euro pia mechi ya Spain vs Italy 4-0 hazikuongezwa dakika
Refa anaruhusiwa kutumia utu akiona timu Moja inahangaika mwishoni bila ya kua na matumaini yoyote
Refa aliona hata hizo dakika mbili ni wastage of time tu mchezaji anaweza kupata majeraha yasio na ulazimaWatu wanalaumu Azam wakati mwongozo wa Mwamuzi unamruhusu kufanya hivyo 😃 tatizo tumeshaona wakina Tatu Malogo, Kayoko na Kayombo wakichezesha dakika 6 😃
Azam TV walipoteza umakini baada ya goli la Kwanza la Yanga Muda ukasoma dakika ya 1. Walipokuja kurekebisha bado walikuwa nyuma Kwa dk 2.Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
View attachment 3382960
Kwa kawaida ikiwa timu unazochezesha moja ikawa imefungwa mabao ambayo huoni yakirudi au unaona kwa muda huo uliobaki wanachezewa sana mpira mwamuzi anaruhusiwa kumaliza mapema ili kulinda heshima ya timu.
Rejea mchezo wa HISPANIA vs ITALIA 2012
Rejea mchezo wa PSG vs INTER MILAN juzi kwenye fainali ya UEFA
FT’ Yanga 2 vs 0 Simba
YANGA BINGWA MARA 31