Hakutaka zifike 5.Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
View attachment 3382960
Kwa kawaida ikiwa timu unazochezesha moja ikawa imefungwa mabao ambayo huoni yakirudi au unaona kwa muda huo uliobaki wanachezewa sana mpira mwamuzi anaruhusiwa kumaliza mapema ili kulinda heshima ya timu.
Rejea mchezo wa HISPANIA vs ITALIA 2012
Rejea mchezo wa PSG vs INTER MILAN juzi kwenye fainali ya UEFA
FT’ Yanga 2 vs 0 Simba
YANGA BINGWA MARA 31
Nimeumia sana, huo muda tungewapiga chuma cha tatu. Dk mbili na nusu ni nyingi mno.Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
View attachment 3382960
Kwa kawaida ikiwa timu unazochezesha moja ikawa imefungwa mabao ambayo huoni yakirudi au unaona kwa muda huo uliobaki wanachezewa sana mpira mwamuzi anaruhusiwa kumaliza mapema ili kulinda heshima ya timu.
Rejea mchezo wa HISPANIA vs ITALIA 2012
Rejea mchezo wa PSG vs INTER MILAN juzi kwenye fainali ya UEFA
FT’ Yanga 2 vs 0 Simba
YANGA BINGWA MARA 31
Azam walipoteza bandiko kama dakika naaa hiviWaamuzi walikuwa mbele ya Azam
Sema tu jamaa wamenyoka kinoma
Hongera kwao
Wewe upo sahihi, wengi hawakuona hiloUnazan Dakika Za Azam kwenye TV yako ndo dakika Za Saa ya Refa
kuna saa Azam walipoteza bandiko karibia dakika naaa
Wao si wanaangalia mpira hawaangalii mistake za Azam tena lile bango lilivorudi likaanza hesabu 00 mara likajirusha 65 likarudi 64 kamiliWewe upo sahihi, wengi hawakuona hilo
Wakati gor la kwanza linafungwa wao unao ukawa unasoma dakika 00Azam walipoteza bandiko kama dakika naaa hivi
Huyu Mtoa Uzi alikua haooni wakat huo kashachanganikiwa na GoliWakati gor la kwanza linafungwa wao unao ukawa unasoma dakika 00