Why mwamuzi kapuliza filimbi kabla ya dakika kuisha?

Hata Kama angechezesha mpaka kesho bado Kolo angepigwa
 
Kwakuwa angetoa muda zaidi ingekuwa hammsa
 
Aliona viwili vinawatosha kwenye uzalishaji ๐Ÿ˜น
 
Waamuzi walikuwa mbele ya Azam

Sema tu jamaa wamenyoka kinoma

Hongera kwao
Wala hata sio hivyo, Sheria za fifa zinampa mwamuzi wa kati mamlaka ya dakika za nyongeza, dakika ziliongezwa Tano, zikachezwa tatu, Simba alikua anatafuta goli 3 kwenye dakika mbili tena za nyongeza, busara inatumika tu



Rejea mechi ya psg vs inter fainali ucl refa alipuliza kipenga dakika ya 89:56

Mtu ushafungwa 5-0 extra time ya nini hasa


Euro pia mechi ya Spain vs Italy 4-0 hazikuongezwa dakika



Refa anaruhusiwa kutumia utu akiona timu Moja inahangaika mwishoni bila ya kua na matumaini yoyote
 
Mtoa Uzi hakua na muda wakuangalia bango la Azam lilipoteana wapi ๐Ÿคฃ
Kunishambulia kwa sababu hiyo ndogo inaonesha kuwa haujapenda kuona uzi ๐Ÿ˜ƒ ungepita tu ๐Ÿ˜ƒ Mkuu sio kila cha kukosoa basi kinatakiwa kukosolewa! Hongera kwako uliyefuatilia kila kitu
 
Watu wanalaumu Azam wakati mwongozo wa Mwamuzi unamruhusu kufanya hivyo ๐Ÿ˜ƒ tatizo tumeshaona wakina Tatu Malogo, Kayoko na Kayombo wakichezesha dakika 6 ๐Ÿ˜ƒ
 
Watu wanalaumu Azam wakati mwongozo wa Mwamuzi unamruhusu kufanya hivyo ๐Ÿ˜ƒ tatizo tumeshaona wakina Tatu Malogo, Kayoko na Kayombo wakichezesha dakika 6 ๐Ÿ˜ƒ
Refa aliona hata hizo dakika mbili ni wastage of time tu mchezaji anaweza kupata majeraha yasio na ulazima
 
Azam TV walipoteza umakini baada ya goli la Kwanza la Yanga Muda ukasoma dakika ya 1. Walipokuja kurekebisha bado walikuwa nyuma Kwa dk 2.
 
Kuna muda dakika za Azam zilizingua, ndiyo sababu.....sema wengi hawakugundua hili,mi niliyekuwa naangalia muda hauishi baada ya goli la Pacome niliziona,ila nikaona ameongeza chache baada ya goli la Mzinze,Refa dakika zilikuwa mbele ya Azam kama dk moja na sekunde kama 30+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ