Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

Atakuwa amerudi tena jalalani.Ni prof. pekee ambaye hakuwahi kuacha akiba ya maneno,.Yaani nadhani jinsi alivyokuwa anamwamini mwendazake,as if mwendazake alikuwa mdogo wake Mungu
 
Profesa tumbo kuuuubwa , hawa ndio wanakulaga hadi shea za watoto na wake zao jamaa hana hata chembe ya haya , namkumbuka wakati anamfagilia mwendazake yeye na mwenzie kangi yaani yalikua kama mazuzu kabisaaa
 
Yuko China anapambana Ile veta ijengwe pia na chato iwe Kama Guangzhou ama Fujian
 
Mtu aliefanya ujinga kiasi hiki unategemea aweze kufungua mdomo wake baada ya sponsor wa ujinga kufa?
 
Stroke
 
Hahitaji chanjo yule, si ndiyo alikuwa wkala wa ile ya Madagascar?
Si akipiga dose ya Madagascar huyu?
 
Go slow kandaofu! Wako wenge kimya kingi ..... Kawaida mtu mwenye Hikma na Akili hawezi kurudi kulamba matapishi yake.
 
Atakuwa amerudi tena jalalani.Ni prof. pekee ambaye hakuwahi kuacha akiba ya maneno,.Yaani nadhani jinsi alivyokuwa anamwamini mwendazake,as if mwendazake alikuwa mdogo wake Mungu
Lilikuwa jitu jinga sana.
 
Upepo wa awamu hii sio wake tena,zama za watu wengine sasa
 
KATI ya MAWAZIRI wasio THUBUTU KUJIUZULU ni pamoja ba HUYO HAWEZI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cha Madagascar alichokifakamia Kukionja kwa Kiherehere chake sasa Kinamtesa. Sihitaji maswali zaidi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…