Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

Prof Kabudi kama alikuwa demu wa JPM....anatetea upuuzi kama shoga kutetea bwana wake.....rubbish shame on him
Mwache awe mpuuzi au shoga ila ni kwa usalama wake na familia yake iweze kwenda chooni,shuleni na hospitali kwa uhakika zaidi😅 i guess thats a sure bet even for you!
 
Alituhaidi kuiona Chato kuwa kama Shehnzen China,....sie bado tunasubiria tu...
Muulizeni na ile shehena ya madawa aliyofuata Madagascar iko wapi? Au waliimaliza yeye na jamaa yake? Kama bado ipo aitoe tuwe tunashushia kwenye chanjo.

Hivi ilifanyiwa utafiti na wataalamu wetu kweli kabla ya yeye kubugia siku ile mbele ya kamera!!??
 
  • Thanks
Reactions: G4N
... within a duration of less than 6 months, two quietly contradicting professional statements on a highly sensitive matter of national interest from a "distinguished" professor!
Inacontradict wapi kama siyo uelewa wako mdogo
 
This language is sweet 🧁 to listen to or read from he who knows it well. I adore 🥰 your English mkuu
 
Kabudi
Nje ya siasa alisifiwa Sana na watanzania hasa wasomi hivyo magufuli alikuwa akiona mtu anakubalika mtaani anateua ili mtuhusika atumike kushainisha Uongozi wake

kwasasa mama atakuwa anawaza kumtema kabisa arudi jalalani kwake
 
Kibudu alikua hovyo kabisa.
Alijiona ndo waziri mkuu wakati wa mwendazake.Alikua anakesha ikulu utadhani mnikulu.
Sasa haamini kilichotokea
Aiseee, mpaka akafikia kuwa dalali wa kampuni feki iliyotaka kununua korosho toka Kenya!! Kaaazi kwelikweli, tulipitia mengi aisee sie wakulima wa korosho...
 
Back
Top Bottom