sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kusimama mwenyewe ndio kupoje? uko alipoenda kijeba kuna wanaomsimamia kama kina salam na babutale sema uwezo wa kina jembe ni mdogo ndio maana mnnaona km kifutu kasimama mwenyeweUnazan hao wakisimama wenyewe kama harmonize wanaweza kufika hizo streams and download?
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenye we.. Weka u team pembeni halafu tumia kichwa kufikiri then utaja jua kwamba Nani mjanja Kati ya mmakonde na mmanyema.Comments uchwara kama hizi+Bange ndio sababu ya mmakonde kuporomoka kila siku. Zuchu si wakumpita ki mauzo mmakondeAll in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
Kwa maana hiyo Leo unakubali kwamba nguvu ya diamond(WCB) ni kubwa kuliko mmakonde?Unazan hao wakisimama wenyewe kama harmonize wanaweza kufika hizo streams and download?
Acha uzwazwa wewe.. Jamaa kaweka viewers Wa zuchu sababu ni msanii mpya pale WCB, Zuchu Hana viewers wakumfikia rayvannyBadala ya kuweka viewers wa Rayvan wewe unaleta viewer wa zuchu,kwani wanatifuana Konde boy na Zuchu au ni mtifuano wa Konde na Rayvan?
Yaani wewe unafurahia kua mfanyakazi mwenye cheo kikubwa lakini kipato kidogo?Yeye amezungumzia mauzo (akimaanisha ukubwa wake), hajazungumzia nini anaingiza
Watanzania mna matatizo kweli, kwanini mnalazimishia kwamba wanaingiza kiasi kidogo, mko kwenye bank account zao. Hawajalazimishwa kuwepo hapo, ni mapenzi yao sasa nashangaa mmekuwa wasemaji wao. Mtu kasema anaingiza pesa nyingi wewe ni nani unamkatalia, alishawahi kukuomba msaada au kukukopa hela???Zuchu Ana stream nyingi lakini anachoingiza ni kidogo
Umewahi kuona kipato chake? Au ni ushabiki maandazi unakusumbuaYaani wewe unafurahia kua mfanyakazi mwenye cheo kikubwa lakini kipato kidogo?
Labda unasahau kwamba hata huyo Harmonize hivi sasa anasimama mwenyewe kwa sababu tu alikuwa hapo hapo unapowasema hao wengine! Kuna wasanii wakali maradufu kuliko Harmonize na bado hawapati hata robo ya views anaowapata Harmonize! Ukifahamu hilo utagundua kinachombeba na yeye ni kuwa ex-WCB, na kisha aka-force bifu na Nassib wa WCB!Unazan hao wakisimama wenyewe kama harmonize wanaweza kufika hizo streams and download?
Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2. Nani_Ibraah Views Milioni 2.4
3. Nitachelewa _Views Milioni 2.2
4. Nimekubali _ Views Milioni 1.7
5.Wandoto _ Views Milioni 1.6
6.Nimpende _ Views Milioni 1.2
7. Sawa _ Views Milioni 1
JUMLA NI SAWA NA VIEWERS MILLIONI 22.1
.
VIEWERS WA HARMONIZE 2019/2021
1. UNO _ VIEWERS M 12
2.JESHI _VIEWERS M 6.6
3. USHAMBA _VIEWERS M 6
4.MPAKA KESHO VIEWERS M 4.8
5.FALLING IN LOVE VIEWERS M 4.8
6. BEDROOM _VIEWERS M 4
7. WIFE _MILLION 3.7
8.MAMA _VIEWERS M 2.8
9.HAINISHTUI _VIEWERS M2.9
10. ANAJIKOSHA VIEWERS MILLION 2.4
JUMLA NI VIEWERS MILIONI 47.6 +22.1=MILLION 69.7
.
.
VIEWERS WA ZUCHU
:
1. SUKARI YA VIEWERS M 26
2. CHECHE _VIEWERS M 19
3.LITAWACHOMA _VIEWERS M.15
4. WANA _VIEWS M. 11
5.NISAMEHE _VIEWERS M. 10
6.MAUZAUZA _VIEWERS M 8
7.RAHA _VIEWS M 7.8
8.NO BODY_ VIEWERS M. 6.2
9.KWARU _VIEWERS M 5.7
.
.
JUMLA NI 108.7
.
.
NAMALAZIA NA BOOMPLAY
HARMONIZE ANA STREAMS NA DOWNLOADS MILIONI 12.8 HUKU KIJANA IBRAAH AKIWA NA MILIONI 2 JUMLA NI MILIONI 14.8
MSANII ZUCHU ANA JUMLA YA STREAMS NA DOWNLOADING MILIONI 23.2
VIPI KUNA SABABU YA VITA YA HARMONIZE NA RAYVANNY?
Kumbe mzee baba wewe ni mshabiki wa kondeboyMngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.
Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.
Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.
Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.
Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
Mimi nasema ukweli. Sijawahi kuwa msukule wa mtu yeyote.Kumbe mzee baba wewe ni mshabiki wa kondeboy
Wewe hujui hata bei ya ukumbi mlimani city alafu unataka tujadili kuhusu biashara ya muziki, kweli?Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.
Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.
Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.
Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.
Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
Hotel waliyofikia ndio balaa zito
Miaka yote wanaboost wao alafu google wawatizame tu kwani google biashara yao kubwa kwenye bidhaa yao ya YouTube ni matangazo.Mimi nasema ukweli. Sijawahi kuwa msukule wa mtu yeyote.
Kwasababu kelele za kipuuzi zimekuwa nyingi.
Sasa mtu analinganisha watu wanaokuza YouTube channel zao organically na wanaotumia pesa. Kama siyo uzwazwa ni nini ??
USHAHIDI: Kumbe Wasafi wanaboost YouTube Channels zao kupata views. Sijui tambo huwa zinatoka wapi wakati siyo natural trending !!!
Ninaweka kama kumbukumbu tu !! Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!www.jamiiforums.com
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenye we.. Weka u team pembeni halafu tumia kichwa kufikiri then utaja jua kwamba Nani mjanja Kati ya mmakonde na mmanyema.Comments uchwara kama hizi+Bange ndio sababu ya mmakonde kuporomoka kila siku. Zuchu si wakumpita ki mauzo mmakonde
Wewe jamaa ni kiazi, kuboost channel ni legal na ndio biashara ya YouTube kupitia YouTube advertising.Miaka yote wanaboost wao alafu google wawatizame tu kwani google biashara yao kubwa kwenye bidhaa yao ya YouTube ni matangazo.
Kuna maroboti wana monitor acc kila dk so kuhack unaweza lkn wana uwezo wa kugundua na kuifunga acc yako ndani ya siku.Kila mwaka watu wa Information system auditing wanaikagua kila siku kwa ajili ya waridhisha wateja wao wanao wapa matangazo.
Yaani hizi tuhuma zina miaka zaidi ya mitano,Google wasi wajue ?na siku hizi kuna hizi Artificial intelligence huwezi kununua/boost views.
Huwezi kuboost kama hujui kwenye acc yako iwe Youtube,Insta,Fb,Twitter kila unachofanya,wana kimonitor,kupitia maroboti na AI.Wewe jamaa ni kiazi, kuboost channel ni legal na ndio biashara ya YouTube kupitia YouTube advertising.