We all know Diamond Platnum ni Baba lao kwenye muziki, ila kinachomuumiza akili Diamond ni vile Harmonize anavyozid kukua siku hadi siku of which hataki itokee, Diamond is on top ila harmonize anampa hofu sana ki ukweli coz anaona moto anaokuja nao si mchezo, Ndio maana wasafi Nzima wanahaha wanaogopa kiti chao cha ufalme kuchukuliwa na harmonize
But soon or later harmonize anaenda kuwa mtu mkubwa sana , huu ni ukweli mchungu ambao wasafi hawataki kuamini
Harmonize ni tishio kubwa sana Ndio maana wanafanya juu chini kumzima, angekua sio threat wasingekua wanam attack kila kukicha
Why hawana time na mavoko? Kwa sababu walitaka kumshusha na wakafanikiwa hivyo hawana time nae washammaliza, Tatizo liko kwa harmonize, mmakonde anampa headache Boss wake wa zaman
Hakuna kitu kinauma kama mfanyakazi wako mwenyewe anakua mkubwa kukupita, well it’s very normal ni human nature hakuna anayependa kuwa mdogo kumzid mwenzie, ila harmonize anawapa stress sana wasafi