Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Anyway weka ushahidi huo tuone kama huyo Ibraah kafanya, maana mimi sijaona kamaalifanya. Pia kufanaya siyo kosa.
Vipi na huko Boomplay,Sportfy na Itunes Zuchu,Rayvany na Diamond wanalipia promo?

Maana Zuchu Sukari Boomplay kwa wiki kumi inaongoza Africa hapa napo walilipia promo.

Screenshot_20210415-201611.png

Ravanny nae Sportfy Tetema ilipata stream zaidi ya milioni moja ndani ya miezi miwili Sportfy je walifanya hiyo promo sportfy?
images (36).jpeg
 
Vipi na huko Boomplay,Sportfy na Itunes Zuchu,Rayvany na Diamond wanalipia promo?

Maana Zuchu Sukari Boomplay kwa wiki kumi inaongoza Africa hapa napo walilipia promo.

View attachment 1753021

Ravanny nae Sportfy Tetema ilipata stream zaidi ya milioni moja Sportfy je walifanya hiyo promo sportfy?
View attachment 1753024
Unalivua nguo ilo chawi linavamia vitu halijui 😂😂😂
 
We all know Diamond Platnum ni Baba lao kwenye muziki, ila kinachomuumiza akili Diamond ni vile Harmonize anavyozid kukua siku hadi siku of which hataki itokee, Diamond is on top ila harmonize anampa hofu sana ki ukweli coz anaona moto anaokuja nao si mchezo, Ndio maana wasafi Nzima wanahaha wanaogopa kiti chao cha ufalme kuchukuliwa na harmonize

But soon or later harmonize anaenda kuwa mtu mkubwa sana , huu ni ukweli mchungu ambao wasafi hawataki kuamini

Harmonize ni tishio kubwa sana Ndio maana wanafanya juu chini kumzima, angekua sio threat wasingekua wanam attack kila kukicha

Why hawana time na mavoko? Kwa sababu walitaka kumshusha na wakafanikiwa hivyo hawana time nae washammaliza, Tatizo liko kwa harmonize, mmakonde anampa headache Boss wake wa zaman

Hakuna kitu kinauma kama mfanyakazi wako mwenyewe anakua mkubwa kukupita, well it’s very normal ni human nature hakuna anayependa kuwa mdogo kumzid mwenzie, ila harmonize anawapa stress sana wasafi
warumi Unaposema diamond anamuonea wivu kondeboy ninashindwa kuelewa maana ukizungungumzia msanii mwenye viewers wengi youtube ni diamond Tena by far, ukizungungumzia mauzo ya miziki diamond yupo juu by far dhidi ya harmonize, harmonize hata top 4 hayupo hapa, ukizungungumzia shows kubwa za nje diamond ana show nyingi harmonize hata show moja Hana, ukizungungumzia label inayofanya vizuri Africa ni Wcb hiyo ya kondegang hata haifahamiki uposema anamuonea wivu kwa kitu kipi ikiwa kila angle ya music kaachwa Sana.Kuhusu kusema Wcb inamfuatafuata unaweza ukawa ufuatilii mziki vizuri tangu harmonize atoke Wcb diamond hajawahi kuzungumzia kabisa zaidi ya harmonize kuzungumzia Wcb mpaka akaanza kurusha vijembe kwenye nyimbo zake kama "ushamba" ujanikomoa" n.k baada ya vijembe kuzidi Sallam sk akaanza kumjibu harmonize ndio ugomvi ukaanza kuwa mkubwa.Kingine kinachonishangaza ugomvi binafsi wa Rayvanny vs Harmonize unamwingiza diamond ili mpate content ikiwa jamaa kakaa kimya.
 
kiufupi mashabiki wa huko wasafi wengi ni matahira na wanakulaga kwao
sambamba na mnyakyusa amefanya move ya kipuuzi sana anatumiwa bila kujijua acha aone mwisho maana hata kujisimamia hajui tofauti na mmakonde
 
warumi Unaposema diamond anamuonea wivu kondeboy ninashindwa kuelewa maana ukizungungumzia msanii mwenye viewers wengi youtube ni diamond Tena by far, ukizungungumzia mauzo ya miziki diamond yupo juu by far dhidi ya harmonize, harmonize hata top 4 hayupo hapa, ukizungungumzia shows kubwa za nje diamond ana show nyingi harmonize hata show moja Hana, ukizungungumzia label inayofanya vizuri Africa ni Wcb hiyo ya kondegang hata haifahamiki uposema anamuonea wivu kwa kitu kipi ikiwa kila angle ya music kaachwa Sana.Kuhusu kusema Wcb inamfuatafuata unaweza ukawa ufuatilii mziki vizuri tangu harmonize atoke Wcb diamond hajawahi kuzungumzia kabisa zaidi ya harmonize kuzungumzia Wcb mpaka akaanza kurusha vijembe kwenye nyimbo zake kama "ushamba" ujanikomoa" n.k baada ya vijembe kuzidi Sallam sk akaanza kumjibu harmonize ndio ugomvi ukaanza kuwa mkubwa.Kingine kinachonishangaza ugomvi binafsi wa Rayvanny vs Harmonize unamwingiza diamond ili mpate content ikiwa jamaa kakaa kimya.
Aisee, umeandika gazeti sana
 
huu mwaka diamond asipokuweka madale ndio basi tena sahau bahati yakuolewa tena
 
Mimi nasema ukweli. Sijawahi kuwa msukule wa mtu yeyote.

Kwasababu kelele za kipuuzi zimekuwa nyingi.

Sasa mtu analinganisha watu wanaokuza YouTube channel zao organically na wanaotumia pesa. Kama siyo uzwazwa ni nini ??

Nimekuambia hivyo kwa sababu hoja unazitoa kutetea kondegang zinakosa mashiko( hoja ni dhaifu) tatizo sio kuwa ni mshabiki wa kondeboy au Wasafi au wa mziki huo ni Uhuru wa mtu binafsi tunachoangalia hapa hoja zenye nguvu.
 
All in all harmonize anawanyima usingizi crew Nzima ya wasafi, and he is just one guy , wanataka kumuona akishuka too bad Mungu sio juma Harmo Kila Siku nyota yake inazid kuwaka juu , huyu mmakonde kamzid domo ujanja
Yaani kile walichokuwa wanalalamikia kufanyiwa na clouds ndicho wanachofanya sasa. Ila kwakuwa wana mashabiki vichwa maji wanasupport tu kila ujinga.
 
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.

Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama Vanny boy anauza sana hafaidiki moja kwa moja na mapato yote, hayo mapato ndio Diamond anatumia kulipa mishahara ya wafanyakazi coz mfano Wasafi fm haiingizi pesa za kutosha.

Pia Vanny boy na Zuchu wanatembelea kick ya master Platnumz, wakitaka wajipime waseme tunatoka kwa muajiri wetu WCB I mean Platnumz.

Harmonize na Mavoko kilichowatoa ni mgao wanaopata kwenye mauzo ya nyimbo zao ulikuwa mdogo mwingi ukienda kwenye kampuni.

Inawezekana Harmonize anauza kidogo kuliko Rayvanny lakini akawa ana kipato kikubwa kuliko Rayvanny kwa sababu Rayvanny ni muajiriwa wa Diamond na anapangiwa anachostahili kupata.
It is called business
 
Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.

Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.

Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.

Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.

Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
Thinking ya hovyo sana hii

Umejaribu kuchambua Kampuni inayofanya Stratretic Plan nzuri then instead kuisifia umeiponda.

Umeonesha kampuni inayofanya Branding yake Primitive kama wako zama za mawe then ukaisifu.

Kichwa kinachowaza kwa namna hii kinapaswa kibinywe na winji hadi kupasuke.
 
Nyie si mnaona Instagram tu , wenzenu hizo hotel kubwa wanaenda kikazi tu wanaitwa na wanaume kwa ajili ya kufanya ngono then wanaondoka wanaenda kulala Deira huko, mitandaon mnarushwa roho na mapicha picha mnaona wameyapatia maisha kumbe wapi

Huddah yupo Dubai Mwaka sasa unataka kuniambia siku zotr hizo analala hotelin ? Na kutwa kupiga picha kwenye hotel ila anapokaa huwez kukuta anapiga picha , nyie huko instagram mnadanganywa na mnajaa

Mwamba nakubaliana na ww kwa asilimia 100% kulala hotel kubwa dubai kwa wiki tu Its not easy. Mm binasf napigana nao vikumbo kila kukicha tembo hotel deira na hotel za pata sote.
 
Back
Top Bottom