Mngekuwa na akili kubwa kidogo kama mdomo wa boss wenu ingewasaidia sana.
Huyo Zuchu gharama zilizotumika kumpa hiyo mileage ni kubwa mnoo, na kwa vyovyote hajaingiza faida.
Hata YouTube channel yake imekuwa boosted mnooo. Kwahiyo hapo kuna mchanganyiko wa organic na paid views. Ukijumlisha ile branding affair aliyofanyiwa Mlimani City ni zaidi ya 10M.
Lakini hao Kondegang, ukicheck kazi zao zinaenda organically.
Probably huyo kibiashara Ibraah ameanza kuingiza faida lakini Zuchu bado.
Mi sijui hii confindence unaipata wapi ya kuprove kwamba zuchu hana hela....
Umejitahidi mwenyewe kutupoteza kwa kujazia tu maneno twa kingereza eti organically ili usiulizwe maswali au???
Proof ya ibrah analipwa kuliko zuchu ni ipi????
Nguvu iliyotumika sana kumboost zuchu ambayo ina gharama ni ipi???
Una mifano ya sehemu hzo gharama zilipotumika???
Zuchu kaanza juzijuzi tu na kawa ambassador wa nywele...
Na ile hela ya u ambassador wanaichkua?
Haya basi tupime kwa show za mwaka
Zuchu na ibrah wamepiga show ngap mpaka sasa?
Huoni hata kwa utetezi wako usio na proof kwamba mwisho wa siku bado zuchu obviously anaingiza pesa nyingi???
Rayvanny ndo asiongelewe kabisa
Kuanzisha next level music ni ushahidi tosha....
Haya maswala sijui ya wcb wananyonya naona tokea muda ipo tu
Watu wanazidi kufanya mambo yao wcb lakini watu wamekazana kuna unyonyaji
Ushahidi hamna ....mimi kwa kweli naona hii mada kama hamna proof basi inyamaziwe tu sio kuwasema watu bila ushahidi tosha
Na kuna mtu kaandika huko eti ngoja nikakupeleke anapokaa zuchu upaone..😂😂
Watanzania bhana yani nifunge safari na mtu baki mwenzangu akanithibitishie zuchu hana hela😂😂😂
Hata mipango ya wasanii huijui hata mifuko yake inasomaje ndo mtu unampangia uchumi kutokana na muonekano
Eti ukimuona tu unajua hana pesa
Na mark zuckerberg nae tungemjudge kwa muonekano si angekua kila mtu anamuona kapuku?
Pesa haiangaliwi kwa macho wazee!!!
Ukikua utaacha. Fedha haijifichi hata siku moja. Ukimuona binti wa Mzee noni doreen au wa Mzee wa vijisenti madina directly unaona hela ipo. Wananukia tuu ma joe malone yaani wananukia pesa.
Ukikutana na Ndama mtoto wa ngombe japo ni mweusi lakini ngozi yake na nguo alizovaa unajua pesa ipo bado gari analoendesha.
Sasa vanny, baba levo,lavalava, darleeen,uncle shamte hao wote ukisogeleana nao tu unajua bado arosto apeche isipokuwa diamond ndio ukimuona unajua hela ipo.
Nikusaidie Harmonize pale wcb katoka kwa nguvu ya upande wa pili ule wa clouds particular Jembe hakuwa na hela ya kusimama mwenyewe bila godfther na competitor. Ile ni biashara usifikiri katoka tuu ana target lazima aachieve mwisho wa siku.