Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

Kweli mkuu, hiyo 35/65 ni member mmoja humu anayejifanya kujua sana mambo ya pale usafini. Hatuwezi kuamini rumors, sasa mtu unajiuliza hivi inakuwaje shabiki uone mtu ananyonywa ikiwa muhusika hana tatizo na ameridhika. Na hatua anazopiga zinaonekana, leo hii mtu Kama mbosso rayvany wanasukuma ndiga za bei juu, wamejengea wazazi wao na mambo kadhaa wa kadhaa tusiyoyajua.
 
Hata ukijiuliza wasanii wa konde nyani na king music ambao hawanyonywi wanakipi cha ziada kwa wasanii wa wcb wanaonyonywa? yaani wasionyonywa hawafikii hata robo ya pesa na umaarufu wa wanaonyonywa alafu mtu anakuja na ngonjera za kuwaponda wcb.
 
Rayvani alikuwa tip top connection.alikuwa Hana mbele Wala nyuma,
Harmonize ndo kabisaa
Lavalava ndo usiseme.
Walioouwa na afadhari NI queen darlin,mbosso na rich mavoko hawa walikuwa tayari NI wasanii.
kuwatoa rayvani, harmonize,zuchu,lavalava haikuwa kazi ndogo.
"UKIONA UNANYONYWA KUMBUKA ULIPOTOKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…