anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Na ww tuambie made in Canada unayo itumia nyumbani kwako.Wew una made in Russia ipi hapo nyumbani kwako? Hebu tuanzie hapa kwanza.
Ant Virus ya Kaspersky tunaitumiaWew una made in Russia ipi hapo nyumbani kwako? Hebu tuanzie hapa kwanza.
Bombardier na CRJ.Na ww tuambie made in Canada unayo itumia nyumbani kwako.
Usingemjibu, ungemuacha akaze fuvuBombardier na CRJ.
Hata sisi tuna kamazi na AK-47 una lingine la kusema?Bombardier na CRJ.
ongezea na LGBTIQA+ wala usificheBombardier na CRJ.
Simu ya Blackberry ambayo wajomba zako walitamba nayo wakati fulani miaka ya nyuma ilitokea Canada.
Punguza makasiriko.ongezea na LGBTIQA+ wala usifiche
Aliye kaza fuvu ni mwenzenu aliye sema kuwa hajawahi kuona bidhaa made in Russia hali ya kuwa polisi wanao mlinda anawaona kila siku wamebebelea ak-47.Usingemjibu, ungemuacha akaze fuvu
So what? Go ask them why they were expelled. Ukraine invasion is the cause of all such absence from this colonial group.Unafiki.
Russia was added to the political forum from 1997, which the following year became known as the G8. In March 2014 Russia was suspended indefinitely following the annexation of Crimea, whereupon the political forum name reverted to G7.
Punguza makasiriko.
Labda kuna majambazi waliwahi kuitumia kumvamia nayo au kumdhuru ndio inampa PTSD.Aliye kaza fuvu ni mwenzenu aliye sema kuwa hajawahi kuona bidhaa made in Russia hali ya kuwa polisi wanao mlinda anawaona kila siku wamebebelea ak-47.
utatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.Labda kuna majambazi waliwahi kuitumia kumvamia nayo au kumdhuru ndio inampa PTSD.
Unaona fahari kuzamiazamia..utafikiri ni jambo la kujisifu.Kwa akili hizi unafikiri Afrika tutafika kweli.Assume kuna viongozi wetu wana-mtazamo kama huu wako,Afrika tutaendelea kuwa bara la giza mpaka basi.Pole sanautatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.
Uelewa wako ni mdogo sn ndg. Nimekuuliza km Russia kuna maendeleo ya kiviwanda na fursa za kiuchumi mbona hatuoni watu wakienda huko kutafuta fursa za kiuchumi?Unaona fahari kuzamiazamia..utafikiri ni jambo la kujisifu.Kwa akili hizi unafikiri Afrika tutafika kweli.Assume kuna viongozi wetu wana-mtazamo kama huu wako,Afrika tutaendelea kuwa bara la giza mpaka basi.Pole sana
Ww ni mpumbavu kwani ndani ya Urusi hakuna raia wa kigeni wanao ishi na kufanya kazi ndani ya nchi hiyo?Uelewa wako ni mdogo sn ndg. Nimekuuliza km Russia kuna maendeleo ya kiviwanda na fursa za kiuchumi mbona hatuoni watu wakienda huko kutafuta fursa za kiuchumi?
[emoji23][emoji23]Ww ni mpumbavu kwani ndani ya Urusi hakuna raia wa kigeni wanao ishi na kufanya kazi ndani ya nchi hiyo?