Why Russia is not a 7 Group industrial state

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Unafiki.

Russia was added to the political forum from 1997, which the following year became known as the G8. In March 2014 Russia was suspended indefinitely following the annexation of Crimea, whereupon the political forum name reverted to G7.
 
So what? Go ask them why they were expelled. Ukraine invasion is the cause of all such absence from this colonial group.
 
Punguza makasiriko.
veet.PNG
 
Aliye kaza fuvu ni mwenzenu aliye sema kuwa hajawahi kuona bidhaa made in Russia hali ya kuwa polisi wanao mlinda anawaona kila siku wamebebelea ak-47.
Labda kuna majambazi waliwahi kuitumia kumvamia nayo au kumdhuru ndio inampa PTSD.
 
utatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.
 
Unaona fahari kuzamiazamia..utafikiri ni jambo la kujisifu.Kwa akili hizi unafikiri Afrika tutafika kweli.Assume kuna viongozi wetu wana-mtazamo kama huu wako,Afrika tutaendelea kuwa bara la giza mpaka basi.Pole sana
 
Akina Putin wanaamini kabisa kwamba mtu mweusi ni nyani tu asiye na maana yoyote kwao na kama Russia ndio ingekuwa na uchumi kama wa Marekani wangepiga marufuku kabisa "nyani" yeyote asitie miguu ktk Russian Federation ila basi tu Mungu anajua.
 
Unaona fahari kuzamiazamia..utafikiri ni jambo la kujisifu.Kwa akili hizi unafikiri Afrika tutafika kweli.Assume kuna viongozi wetu wana-mtazamo kama huu wako,Afrika tutaendelea kuwa bara la giza mpaka basi.Pole sana
Uelewa wako ni mdogo sn ndg. Nimekuuliza km Russia kuna maendeleo ya kiviwanda na fursa za kiuchumi mbona hatuoni watu wakienda huko kutafuta fursa za kiuchumi?
 
Ww ni mpumbavu kwani ndani ya Urusi hakuna raia wa kigeni wanao ishi na kufanya kazi ndani ya nchi hiyo?
 
[emoji23][emoji23]
Kwani Tanzania hakuna raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi hapa nchini?
 
Back
Top Bottom