Why Samia Anaiogopa Ikulu ya Dar?, je ndo rasmi Serikali imehamia Dodoma

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar.

cha kustaajabisha Toka Rais Samia agaiwe cheti cha Urais,ni kama ikulu ya Dar.ameisusa nikimaanisha baada ya uchaguzi, nini kinaendelea kwa samia kubaki ikulu ya Dodoma wakati watu wote wanajua anaipenda ikulu ya Dar.

pia kiusalama ikulu ya Dar.ipo.sehemu mbaya vilevile kiusalama ikul
 
TUna Ikulu mbili, wamechagua kukaa Dodoma kwa sasa.

Wana sababu zao,

Moja inaweza kuwa ni mambo ya usalama.
 
Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar.

cha kustaajabisha Toka Rais Samia agaiwe cheti cha Urais,ni kama ikulu ya Dar.ameisusa nikimaanisha baada ya uchaguzi, nini kinaendelea kwa samia kubaki ikulu ya Dodoma wakati watu wote wanajua anaipenda ikulu ya Dar.

pia kiusalama ikulu ya Dar.ipo.sehemu mbaya vilevile kiusalama ikul
Kwa aliyoyafanya Dar hayuko salama
 
Siku ukifumaniwa ndo utajuaa gharama ya kurudi nyumban
 
akil mgando hizo , mwenzie alikuwa Dom , yeye akarud Dar ss hv kwann kapakimbia tena
hata angekaa njombe bado mngesema kwanini amezisusa ikulu zote, na hata angerudi dar bado mngesema kuwa kwanini hakai Dodoma makao makuu
 
Back
Top Bottom