ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
sahihisometimes ni hisia akikaa Dar pia mtasema akikaa Dodoma pia napo mnasema nachojua serikali iko dodoma ndo makao makuu basi
Kwa aliyoyafanya Dar hayuko salamaKumekuwa na malalamiko muda mrefu kwa matumizi makubwa ya pesa za Umma toka ikulu ihame dae kwenda Dodoma, Kwani Rais Samia alipendelea sana kufanyia kazi ikulu ya Dar kuliko ile ya Dodoma, hivyo kusababisha viongozi wengi wa serikali kulipwa pesa za safari nyingi. wanapokuwa ikulu ya Dar.
cha kustaajabisha Toka Rais Samia agaiwe cheti cha Urais,ni kama ikulu ya Dar.ameisusa nikimaanisha baada ya uchaguzi, nini kinaendelea kwa samia kubaki ikulu ya Dodoma wakati watu wote wanajua anaipenda ikulu ya Dar.
pia kiusalama ikulu ya Dar.ipo.sehemu mbaya vilevile kiusalama ikul
hata angekaa njombe bado mngesema kwanini amezisusa ikulu zote, na hata angerudi dar bado mngesema kuwa kwanini hakai Dodoma makao makuu
kwani wewe unataka akae wapi ili uridhike?akil mgando hizo , mwenzie alikuwa Dom , yeye akarud Dar ss hv kwann kapakimbia tena
HASWAAAA MAANA KULE DAR NI RAHISI SANA KUVAMIWA MAANA MAANDAMANO NI ZEROTUna Ikulu mbili, wamechagua kukaa Dodoma kwa sasa.
Wana sababu zao,
Moja inaweza kuwa ni mambo ya usalama.