Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hujaamua.Cha msingi ni namna ya kuwatema moja kwa moja ndio sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaamua.Cha msingi ni namna ya kuwatema moja kwa moja ndio sina
Na hapo hapo wamekuingiza kwenye ulevi🤔🤔🤔Kwasabu hawajai nifanyia chochote kibaya na hata wakijaribu niko makini sana
Mbona wewoooooooo!!Kasongo yeyeeeee
Fanya haraka urudi nataka niingie Mlimani city kwenye uchaguzi
Mimi nataka confession yako🙃Eeeh watu hawana dogo kila siku atakuwa anakumbishiwa kama confession ya Hornet watu walimkumbishia kila mara 😂, Bora akuhadithie wewe huko PM afu uje kutuhadithia kwa code
Most of us we are…❎Most of us we are curious hebu mwaga huo Mchele tudonoe hapa
Nakupendaga madam 😍Most of us we are…❎
Most of us are✅
😂😅🤣Kasongo yeyeeeee
😅😅 Dah sipati picha hiyo depression yake, kuna mmoja alinihadithia yeye ilikuwa hivi alinambia "usiwaone kina jack wanatamba na maduka sinza afu kila siku wapo Dubai sijui china kufata mzigo hamna lolote mie nilijichanganya nao si wakaniambia nitadanga hapa bongo mpaka nipate ukimwi na sio mtaji wa maana nifanye vitu vya maana kama wao wenyewe siku hizi wanadangia Dubai kama vipi siku moja niende nao uzuri passport nilikuwa nayo, wakanambia kabla kwenda huko lazima nipime kabisa magonjwa yote ili wawatumie watu wao huko Dubai kuthibitisha sina ugonjwa wowote basi nikafanya hivyo wakanambia kuna mambo ya ajabu huko cha muhimu uwe na kifua tuu, mie nikajua labda cha ajabu kuliwa tigo maana kama tunavyosikia waarabu wanapenda tigo kumbe mambo si kama nilivyodhani, picha linaanza tumefika Dubai kwenye hotel nzuri tuu bata la maana wakasema tunakaa hapa mpaka ijumaa tunaenda kwenye yatch party kwa siku tatu na shopping tutafanya tukitoka huko sasa tukiwa hotel hapo nikaambiwa lete account yako ya Bank uweke pesa nusu kabisa nyingine utamaliziwa tukitoka huko kwenye party basi sikuamini macho yangu kwenye account nikawekewa mill 30 nilifurahi sana nikaambia kina jack najuta sijui kwanini hamkunipa hii connection toka kitambo tukafurahi pale basi ijumaa ikawadia tukaenda kupanda hiyo boat tunakutana na waarabu watatu tena vijana wadogo kweli tukaanza kunywa pale cheza mziki wee wa kuvuta bangi wakavuta wa unga wakavuta mie nikagoma baadae muhudumu wa boat anatumbia kila mtu aingie room yake akae asubiri kuingia ile room nakuta imetandikwa makaratasi ya nailoni kila kona mpaka kitandani basi akaja mwarabu pale tukafanya kama dakika tano tuu akawa kamaliza zile shawaha akanimwagia mwilini nikata kufuta akasema kwa ukali sifute basi akatoka nje then akarudi akaanza kunikojolea mkojo huu wa kawaida acha niwe mkali basi yule muhudumu akaja kuniuliza kwani we mgeni wa hizi party basi vumilia bila hivyo hupati pesa yako yote, sijakaa sawa yule mwarabu karudi room kanambia lalia mgongo nikajua anataka kufanya tena naona mtu anachuchuma kwenye kifua changu anaanza kunya aisee nilimpush huko nikaanza kutapika kwa kasi ya ajabu basi nilitupiwa mitusi pale na kipigo nikaambiwa na hela iliyobaki sipewi, kina Jack sasa wakanambia wewe si ulikataaa kuvuta ata bangi unafiriki hela zinapatikana kirahisi rahisi eeh" 😂 kama kuna typo utanisamehe 😅Nili Soma story ya mdada mkenya kwenye group, ana sema ali enda kwa ajili ya conference.
akawa approached na mtu, kuwa Kuna zawadi yake ya 50000usd. Ila awe entertainer wa mtu 1.
aka kubali kwenda, ali kuta 4 people, na Alisha kuwa ame saini confidential document.
Kibaya kwenye conference Alisha aga kaondoka.
walicho mfanya masikini ni triple entendre, yaani ana ongea ana Lia hadi huruma.
akawa ana sema, umri wa kuolewa uli kuwa tayari.
Mchumba wake kamkataa, ana omba anyone amstiri. Coz she can handle everything kuanzia dowry mpaka ndoa yenyewe 🤣😂
Mie tena 🤣 ,yangu ni kubwa kuliko XXXXLMimi nataka confession yako🙃
Duh! Watu wana siri kudadeq!😅😅 Dah sipati picha hiyo depression yake, kuna mmoja alinihadithia yeye ilikuwa hivi alinambia "usiwaone kina jack wanatamba na maduka sinza afu kila siku wapo Dubai sijui china kufata mzigo hamna lolote mie nilijichanganya nao si wakaniambia nitadanga hapa bongo mpaka nipate ukimwi na sio mtaji wa maana nifanye vitu vya maana kama wao wenyewe siku hizi wanadangia Dubai kama vipi siku moja niende nao uzuri passport nilikuwa nayo, wakanambia kabla kwenda huko lazima nipime kabisa magonjwa yote ili wawatumie watu wao huko Dubai kuthibitisha sina ugonjwa wowote basi nikafanya hivyo wakanambia kuna mambo ya ajabu huko cha muhimu uwe na kifua tuu, mie nikajua labda cha ajabu kuliwa tigo maana kama tunavyosikia waarabu wanapenda tigo kumbe mambo si kama nilivyodhani, picha linaanza tumefika Dubai kwenye hotel nzuri tuu bata la maana wakasema tunakaa hapa mpaka ijumaa tunaenda kwenye yatch party kwa siku tatu na shopping tutafanya tukitoka huko sasa tukiwa hotel hapo nikaambiwa lete account yako ya Bank uweke pesa nusu kabisa nyingine utamaliziwa tukitoka huko kwenye party basi sikuamini macho yangu kwenye account nikawekewa mill 30 nilifurahi sana nikaambia kina jack najuta sijui kwanini hamkunipa hii connection toka kitambo tukafurahi pale basi ijumaa ikawadia tukaenda kupanda hiyo boat tunakutana na waarabu watatu tena vijana wadogo kweli tukaanza kunywa pale cheza mziki wee wa kuvuta bangi wakavuta wa unga wakavuta mie nikagoma baadae muhudumu wa boat anatumbia kila mtu aingie room yake akae asubiri kuingia ile room nakuta imetandikwa makaratasi ya nailoni kila kona mpaka kitandani basi akaja mwarabu pale tukafanya kama dakika tano tuu akawa kamaliza zile shawaha akanimwagia mwilini nikata kufuta akasema kwa ukali sifute basi akatoka nje then akarudi akaanza kunikojolea mkojo huu wa kawaida acha niwe mkali basi yule muhudumu akaja kuniuliza kwani we mgeni wa hizi party basi vumilia bila hivyo hupati pesa yako yote, sijakaa sawa yule mwarabu karudi room kanambia lalia mgongo nikajua anataka kufanya tena naona mtu anachuchuma kwenye kifua changu anaanza kunya aisee nilimpush huko nikaanza kutapika kwa kasi ya ajabu basi nilitupiwa mitusi pale na kipigo nikaambiwa na hela iliyobaki sipewi, kina Jack sasa wakanambia wewe si ulikataaa kuvuta ata bangi unafiriki hela zinapatikana kirahisi rahisi eeh" 😂 kama kuna typo utanisamehe 😅
Mlongo, ulivyojibu ni kama vile unajuwa kuwa ni wakoboaji..!!! Wapo hivyo?Hawakufanikiwa kuninasa lakini,.
Mungu anampango na mimi bado
Don't save her, she don't wanna be saved.Story kama hii yako haiwezi kuwa na mwisho mzuri.
Mwisho wa hii story lazima iishie katika moja ya haya majengo ya serikali.
1. Jela
2. Hospital.
Get out while you still can. Don’t walk…🏃♀️run
Dunia usi simame, acha tu niruke 😂🤣Mie tena 🤣 ,yangu ni kubwa kuliko XXXXL
Hamna typo, ila huyo mdada nae katikisa ardhi." 😂 kama kuna typo utanisamehe 😅
RAIS WA MAJOBLESS PROMAXduh wanawake mna mambo, ukute laki 5 au 1m duh.
Arrghh aisee, hii dunia Kuna starehe na Watu wa ajabu sana🤣😂.