Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
naam, ma jobless pro max stand upRAIS WA MAJOBLESS PROMAX
Hii ni ya zao Gani mkuu
Nipo LINDO Mlimani city nalinda huku mabox ya Kura kijana wakonaam, ma jobless pro max stand up
Oooh?? Okay, we can't save a damsel if she loves her distress.Don't save her, she don't wanna be saved.
Samahani mkuu, hiyo “Kula mavi” ni haya haya tunayoyafahamu ama ni yapi?kula mavi trip moja tuu sio chini ya milioni mia moja za kitanzania ndugu yangu, yani ni kuanzia dola efu 30 kwenda juu ila hataree yake hutokula mavi tuu unaweza kula na unga pia maana lazima ujitoe akili kwanza maana masharti hutakiwi kutapika 😂, afu sio mademu tuu mpaka wanaume wamo wee huoni juma lokole trip mbili tatu za Dubai tayari ana Range na hana biashara inayoeleweka mjini 😂, kuna mwingine anaitwa anko T kala mavi mpaka kafungua bonge la saluni bei ya nywele ni million kumi anauza
Asante kwa upendo, Manyanza🥰Nakupendaga madam 😍
Damn, that's why I hate you my favorite enemy 🤣😂Oooh?? Okay, we can't save a damsel if she loves her distress.
She doesn’t *
Mwenzio anapenda vizawadi, hawezi kuwakacha.Story kama hii yako haiwezi kuwa na mwisho mzuri.
Mwisho wa hii story lazima iishie katika moja ya haya majengo ya serikali.
1. Jela
2. Hospital.
Get out while you still can. Don’t walk…🏃♀️run
Hayo hayo, google porta potty 💩Samahani mkuu, hiyo “Kula mavi” ni haya haya tunayoyafahamu ama ni yapi?
Niko nacheka kijiweni hapa, Jamaa ali aga kwa matusi. Halafu Leo karudi🤣😂Nipo LINDO Mlimani city nalinda huku mabox ya Kura kijana wako
Nipate nauli ya Racto niende Tanga
Halafu kweli uncle T kaondoka Bongo kapuku, karudi Millionare🥹kula mavi trip moja tuu sio chini ya milioni mia moja za kitanzania ndugu yangu, yani ni kuanzia dola efu 30 kwenda juu ila hataree yake hutokula mavi tuu unaweza kula na unga pia maana lazima ujitoe akili kwanza maana masharti hutakiwi kutapika 😂, afu sio mademu tuu mpaka wanaume wamo wee huoni juma lokole trip mbili tatu za Dubai tayari ana Range na hana biashara inayoeleweka mjini 😂, kuna mwingine anaitwa anko T kala mavi mpaka kafungua bonge la saluni bei ya nywele ni million kumi anauza
Some fantasy are beyond, our thinking measure 🤣😂Hayo hayo, google porta potty 💩
Natumai wote mu wazima wa afya,.
But why am writting this?,. Why should i do this?.. Sina majibu mpaka sasa wakati huu ninavyoandika.....
Wacha niandike tu bhana huwenda nikapunguza mzigo moyoni,. Mtanisamehe kwasabu ni ndefu kidogo😑😑
Ni kwamba najuta kuwa na cycle ya watu ambao niko nao sasa,. Nisipokuwa makini naweza kuangukia kwenye midomo ya mamba..
Tuanze sasa,. Ilikuwa ni 2022 mwishoni kama sikosei alikuja mdada ofisini kwetu,. Naweza kusema ni aina ya hii midada ya mjini wale ambao maisha wanayoishi na vibiashara wanavyofanya ni vitu viwili tofauti yaani type ya wale wadada naweza kusema ni wadangaji wa mjini waliokubuhu/shindikanaa kabisa ( wale wenye matatoo mara mableach, wengine wamejitoboa hadi kwenye vitovu wameweka vipini )...
Nilimhudumia vizuri sana ukizingatia na nlivyo charming sikuwa hata nimemchukulia tofauti kama wenzangu walivyomchukulia,. Basi wakati anatoka akaniomba namba nikampatia alivyofika kwenye gari yake nje akanitumia text nimfate mara moja nikatoka akaniambia nilitaka nikupatie pesa ya soda maana umenihudumia vizuri lakini isingekuwa vizuri kukupa mbele ya wenzio baasi nikachekacheka pale nikapokea nikarudi kuendelea na kazi..
Baada ya kama mwezi hivi akawa ameniletea na marafiki zake,. Na hao marafiki zake ndio walewale tu,. Ila tu kila mmoja alikuwa anakuja kwa nafasi yake na walichokua wanasisitiza ni kwamba nisije nikaropoka flani naye alikuja maana yule wa kwanza alinitambulisha tu kama nendeni sehemu flani kuna mdogo wangu yupo basii. Si unajua midada ya mjini kuvimbiana hakuna anayetaka aonekane kaishiwa mbele ya wenzie..
Kiukweli ni watu ambao sijui ndio walikua wananipenda au walikuwa wanapenda ninavyowahudumia,. Maana ilikuwa kama desturi tu wakija lazima waniachie hela za maji yaani mtu kukupa 50k kwakwe sio shida zake,. Ukiachana na hivyo utakuta hata kama mtu anapita maeneo ya ofsini atakupigia akuulize kama ulikula kama bado atakwambia njoo sehemu flani basi tule ukienda utarudi na mazaga kibao,. Atakutambulisha kwa wenzie na wenzake nao ndio walewale wananimwagia upendo kama wote baasi nikawa najiona ndugu si ndio hawa nimeplata kumbee😓😓....
Waliendelea hivyo hivyo mpaka ikafika kipindi wote wakawa wananitreat kama mdogo wao yaani,. Kuna zile nyakati labda wamepost status wako China sijui Dubai wanasema wamefata mizigo ya biashara zao,. Mie nikireply tu naulizwa nikirudi nikuletee nini najibu chochote lakini wakirudi wanarudi na hiyo mipackage mpaka nasema hivi huu upendo mbona kama umepitiliza lakini nikawa najionea tu raha nasema kweli nimepata nduguu...
Ngoja kwanza ninywe chai nakuja🙌
Hahahahaaa, your life is totally boring without Hannah.Damn, that's why I hate you my favorite enemy 🤣😂
Mwalimu WA English uko vzrMost of us we are…❎
Most of us are✅
Ndiyo anasema kisaikolojia alitegemea hicho ndo kitu cha ajabu atakutana nacho ila sasa hamna ata aliyemgusa Yass yake 😂😂 na sex yenyewe ni dakika tuu tayariHamna typo, ila huyo mdada nae katikisa ardhi.
Yaani kuwa double, ana ona kawaida😂🤣
Ni hatari sana . Wengi wameharibiwa maisha kwa namna inayofanana na hii.Mwenzio anapenda vizawadi, hawezi kuwakacha.
Ni suala la muda tu comment na nyuzi zake jf zitabadilika kulingana na mlengo atakaokua nao.
Si ndo aliishia kutumika tuu na wenzao ambao sasa hivi wana maishi ya maana mjiniDuh! Watu wana siri kudadeq!
Sasa Wema anafeli wapi sasa hivi