Why should I confess?

Dunia ina mambo ni bora yaendeleee kubaki sirini maana kuna vitu vinaendelea ukipata kuviona unaweza kupata msongo wa mawazo ndo maana tuanaambiwa tusipende sana kuingia dark web
Nimejaribu kucheck ili kufahamu zaidi kuhusu Dark web, nimeona ni mpaka uwe na program inayokuwezesha kuiaccess, ni VPN ama?
 
Kwenye hii dunia kupendwa bure bure tu sio rahisi, kuna namna wananufaika nawe au watajanufaika nawe. The same scenario aliyopitia sista angu na kujinasua ni ngumu mno, sana bora hata wewe umeshtuka mapema.

Kwahiyo sahivi unapombeka, hakika dunia ina mengi.
 
Madawa wanayapata wapi mkuu😳,.
Hapana mkuu sidhani kama wataweza kunifanya chochote cha msingi ni namna ya kuwatema moja kwa moja ndio sina
Magendo yapo mengi sana Lee na mbinu za kufanikisha mipango ni nyingi sana kwahiyo usijiulize watapata wapi. Mtu mwenye spending kubwa tofauti na kipato chake ni wakwenda nae kwa makini sana.

Mimi nna jamaa yangu tunashinda wote karibia kila siku, huyu mwamba huwa simuelewi pesa anatolea wapi, ana kaduka kake lakini kwa namna anavyotumia pesa na mzunguko wa dukani ni vitu viwili tofauti. Yaani kwa kifupi sijawai kumuelewa wala kumuamini hata kidogo na naishi nae kwa tahadhari sana. Uzuri wangu sinaga kimuhe muhe na wenye pesa.
 
Leta kisa hicho mkuu watu wajifunze
 
Na hiyo ndio tafsiri ya utu uzima dawa, mzee alikuponya kabla hata ujaumwa.

Marafiki ni familia unayojichagulia mwenyewe kwahiyo unapaswa uwe makini sana, ni heri usiwe na rafiki kuliko kuwa na rafiki ambae si rafiki.
 
Nimejaribu kucheck ili kufahamu zaidi kuhusu Dark web, nimeona ni mpaka uwe na program inayokuwezesha kuiaccess, ni VPN ama?View attachment 3208984
Weeeee ukitaka kuingia humo tafuta simu nyingine kabisaa ambayo haina vitu vyako kama picha n.k na usifikiri ukiingia humo kila kitu kipo wazi lazima upate link ya site husika unayotaka kutembelea,ukitaka kujua zaidi kuhusu dark web kuna uzi humu utafute
 
Mbona rahisi sana kuwatoka watu wa hivyo, tafuta mkaka awe kama boyfriend wako then siku akukute nao mazingira sio rafiki sana labda tuseme club then muongee kidogo tu kawaida uwatambulishe, then baada ya hapo achana nao mazima.

Wakikuuliza sababu lawama tupa kwa jamaa na uwe kama umekufa umeoza hausikii la kuambiwa 😂, ila chunga tu usije muingiza kwenye matatizo kaka wa watu, so wasimfahamu zaidi ya hiyo siku mtakayokutana hapo club na asionekane kama mtu kinyonge.

Kila la heri.
 
Japo sijawahi kufanya nao chochote kibaya zaidi ya Pombe.. Vishawishi vyao vyote niliweza, nimeweza na ninaweza kuvipangua ( Japo hii huwa naamini ni nguvu ya maombi ya mama yangu) .. Maana mda mwingine mmmh
Leejay49
 
Mbona kuna kipande umeruka ulivolewa ukaamka asubuhi ukakuta umeliwa na saivi wamekufundisha kudanga
 
Watu tupo jf mwaka wa kumi hatuna kazi ya maana.

Mtoa mada ana connection tamu ya kupata lishangazi na hataki kutoa.

Tupendane jamani.
 
Ooh! Ok
Siwezi kuingia huko.
Nilitaka kufahamu tu Dark web ni kitu gani kwa juu juu tu.
Asante kwa tahadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…