kuwa serious ulichoandika hakimake sensi........
kuwa we mfano basi kama kwenda kupiga kazi nnje ni uzalendo basi raia wote duniani walio nnje na nnchi yao ni wazalendo...
umejikanyaga mkuu...pointless....
naona unatupa meaning mpya sasa ya uzalendo from your brain
Ninaona hujamwelewa mkuu. Pengine fani zenu ziko tofauti. Ana maana nzuri sana. Mfano mwepesi, ni mtu anayetoka nyumbani kwenda kuhemea ili alete kwao.