Why Tanzania is not about to eclipse Kenya anytime soon

Why Tanzania is not about to eclipse Kenya anytime soon

Livale so $52 bln to $61 bln is 25% bigger than Tanzania's? Keep dreaming n inflating ur GDP while shrinking Tanzania's!
 
52bn is Tanzania's 2016 estimate by Dec , not yet achieved. Hio 61bn ilikua Kenya's 2014 gdp by Imf. Last year it was 63.1 na this year estimates place it at 67bn.

Na sijui hata ulipotoa io 52bn, Imf yaiweka at 46.8 end of this year while CIA fact book at 48 Na WB is even lower which sidhani ni ukweli.
 
Katika wakenya humu ninaowaona hutoa point bila kuwa biased kiasi na wewe upo so,keep it up....

Ccm imeanza 1977 as abreed a of TANU (from tanganyika) and ASP (zanzbar) ... Vyama Hivi vilileta Uhuru wa majority to the both sides hivyo,waweza sema ccm ni chama kikongwe na katika constitutional amendment ya 1960's (siukumbuki vyema mwaka)...
Mali za umma ziliwekwa chini ya committee ya chama hivyo, chama kipo vizuri financially

Mwaka 1992 ,multiparty system ilirudishwa Tanzania na uchaguzi wa kwanza wa mfumo huu ni 1995.. Hivyo chaguzi za vyama vingi ni ya 5 lakini trend ya matokeo kwa upande wa Tz huonesha kuwa opposition parties zinaimarika..

Magufuli ni rais aliyepata kura chache katika history...

All in all ,safari ya Kenya na Tanzania ni tofauti hivyo, huwezi kuzilinganisha...

Tanzania ndio political powerhouse ya region hii..... End of story
CCM can be compared to KANU from 60s to 90s

KANU was a coalition of all major Kenyan tribes the way and was that very popular ikalemea wazungu

During MOI Era, a constitutional ammendment saw to it that Kenya is a uni-party state with KANU as the only party like CCM was. It also diverted to its coffers a lot of government property like KICC as its hq, nyayo house as a meer torture chamber for its rivals and large land parcels and institutions hence was very rich financially, kama CCM.

Slowly, it's popularity shrank as the opposition grew stronger with moi getting less and less votes each election year vile CCM yashuka in popularity as presidents get less votes. At last KANU ilishindwa na opposition na sai it is quite powerful financially but troubled popular wise, nasema huko ndio naona CCM ikienda
 
Mwezi 7 wachina wanaanza kujenga kiwanda cha ku process na kumanufacture cassava products with investment ya Us dola bilion 1.Geza add kwenye takwimu zako.Wakenya kazaneni tu kuboresha miundombinu maana ndio chance pekee mmebaki nayo lakini mjue tu kuwa mmetangulia kwa baiskeli ya miti
 
daah.....do you realise how desparate you sound.enyewe congratulations kwa hicho kiwanda cha mihogo
 
Geza Ulole stop it already!Even if you are grown up and consider me a kid to know nothing,get outta here once and for all.
 
hahaha huyu jamaa hapo juu na kiwanda cha mihogo......umenichekesha sana. najua wewe kile ambacho kimekufurahisha sana ni kuliskia neno mihogo. umemaliza chipsi mayai sasa umedandia mihogo sasa
 
Kambalanick, which Kenya? Not this Kenya i know that people die of hunger in the lawless up North!
Hehe, hili hukujibu Geza kwa kuwa ulijua you are pulling out figures from the sky and thus attarked Kambalanick
52bn is Tanzania's 2016 estimate by Dec , not yet achieved. Hio 61bn ilikua Kenya's 2014 gdp by Imf. Last year it was 63.1 na this year estimates place it at 67bn.

Na sijui hata ulipotoa io 52bn, Imf yaiweka at 46.8 end of this year while CIA fact book at 48 Na WB is even lower which sidhani ni ukweli.
 
Tanzania was not 48.6bn last year, that is this year's estimate. Chenye umefanya ni kucalculate Tz's gdp in 2017 using current growth rates which comes to your 52bn. By then using Kenya's growth figures, Kenya itakua at 71bn or 36% larger than Tz.

I know you will protest so take the liberty to visit IMF country facts. Ama ulete a link showing Tz's gdp last year was 48.6
 
Back
Top Bottom