Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually our gdp is btn $80-$83bn...so he understated.Livale so $52 bln to $61 bln is 25% bigger than Tanzania's? Keep dreaming n inflating ur GDP while shrinking Tanzania's!
CCM can be compared to KANU from 60s to 90sKatika wakenya humu ninaowaona hutoa point bila kuwa biased kiasi na wewe upo so,keep it up....
Ccm imeanza 1977 as abreed a of TANU (from tanganyika) and ASP (zanzbar) ... Vyama Hivi vilileta Uhuru wa majority to the both sides hivyo,waweza sema ccm ni chama kikongwe na katika constitutional amendment ya 1960's (siukumbuki vyema mwaka)...
Mali za umma ziliwekwa chini ya committee ya chama hivyo, chama kipo vizuri financially
Mwaka 1992 ,multiparty system ilirudishwa Tanzania na uchaguzi wa kwanza wa mfumo huu ni 1995.. Hivyo chaguzi za vyama vingi ni ya 5 lakini trend ya matokeo kwa upande wa Tz huonesha kuwa opposition parties zinaimarika..
Magufuli ni rais aliyepata kura chache katika history...
All in all ,safari ya Kenya na Tanzania ni tofauti hivyo, huwezi kuzilinganisha...
Tanzania ndio political powerhouse ya region hii..... End of story
daah.....do you realise how desparate you sound.enyewe congratulations kwa hicho kiwanda cha mihogoMwezi 7 wachina wanaanza kujenga kiwanda cha ku process na kumanufacture cassava products with investment ya Us dola bilion 1.Geza add kwenye takwimu zako.Wakenya kazaneni tu kuboresha miundombinu maana ndio chance pekee mmebaki nayo lakini mjue tu kuwa mmetangulia kwa baiskeli ya miti
Ian Cruz, In here we talk openly, if u feel annoyed get out of discussion!
Hehe, hili hukujibu Geza kwa kuwa ulijua you are pulling out figures from the sky and thus attarked KambalanickKambalanick, which Kenya? Not this Kenya i know that people die of hunger in the lawless up North!
52bn is Tanzania's 2016 estimate by Dec , not yet achieved. Hio 61bn ilikua Kenya's 2014 gdp by Imf. Last year it was 63.1 na this year estimates place it at 67bn.
Na sijui hata ulipotoa io 52bn, Imf yaiweka at 46.8 end of this year while CIA fact book at 48 Na WB is even lower which sidhani ni ukweli.
kwani hujui hesabu calculate economic growth GDP percentages n u will get the figures!Hehe, hili hukujibu Geza kwa kuwa ulijua you are pulling out figures from the sky and thus attarked Kambalanick
Am not on this site everyday, I have work to do. I have previously tried to engage with you guys and I wont shed off any more IQ.Hehe, hili hukujibu Geza kwa kuwa ulijua you are pulling out figures from the sky and thus attarked Kambalanick