Why Tanzania might be treading on dangerous waters

Mkenya mwenzangu, mambo ya tanzania waachie watanzania. Mambo yao Hayatuhusu kabisa.
 
The only reason hawajaanzisha jihad Tz ni kwasababu Tz haionekani kuwaonea waislamu...
Tanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam na mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.
 
Issue ya korosho mnaitumia sana kudiscredit him, but serikali ilikuwa na lengo zuri, la kuwasaidia. Nyinyi mnahisi sijui ni kuwanyonya, ili nini sasa.
 
Tanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam au mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.
The social fabric in Tanzania is strong but msisahau kuwa vijana wanatoka Tanzania kujiunga na Magaidi walioko Somalia na Mozambique mnafaa muanze kufanya criminal profiling mapema ilimuweze kuzi sambaratisha cells za recruitment zilizoko Tanzania.

This year alone US has issued 2 travel advisories citing possible terror threats.

Anyway hakuna anaye watakia mabaya
 
Ahsante sana.
Nilitaka kumjibu Kiranga haya uliyo andika umenisaidia.

Awamu ya raisi Kikwete ndio wakati ambao taifa la Tanzania lilikuwa dhaifu sana dhidi ya ueneaji wa vikundi vya kighaidi na ujambazi.

Mafunzo na matukio hayo yaliongezeka kwa kasi bila udhibiti mkubwa wa haraka.
 
Pointi yangu ya msingi, ya kwamba sehemu yenye umasikini na kukosa matumaini ni shamba lenye rutuba ya kuotesha mbegu mbaya za ugaidi, haijajibiwa.

Sijasema kwamba Kikwete alikuwa kaweza kuudhibiti ugaidi, hivyo ukinijibu kwa kuniambia Kikwete alikuwa dhaifu kwa hili, unajibu swali ambalo sijauliza.

N akwa kutojibu hoja ya umasikini na kukosa matumaini vinavyochochea mawazo ya ugaidi, unakuwa hujajibu hoja niliyoleta.

Umejibu ambacho sijahoji, nilichohoji hujajibu.
 
Upo sahihi kabisa.
Kwanini nilitaka nikujibu hivyo?
Kwa sababu nilitaka kujibu hoja ya kihisia tu dhidi yako na pengine sipo sahihi ktk hisia zangu.

Hisia zangu kuhusu mtazamo wako na wengi kuwa kwamba hali ya sasa chini ya Magufuli inachochea zaidi uwezekano wa kutokea hayo aliyo toa angalizo mleta mada.

Ngoja niweke wazi kwamba hizi ni hisia zangu tu.

Ukweli ktk hoja yako upo wazi na mwenye akili timamu hapingi.

Pamoja na ukweli uliosema kuhusu umasikini na kukata tamaa bado zipo hoja zingine za kiimani zaidi ya umasikini hupelekea watu kujiunga na ughaidi.

Fikiria kuhusu wengi wa wamarekani waliojihusisha wakipata mafundisho ya ughaidi toka makundi ya kiislam. Wengi walitoka famila nzuri tu walitoka nchi tajiri au walikuwa ndani ya nchi tajiri Marekani. Hawa ughaidi ni zaidi ya umaskini. Wengi walifundishwa tangu utotoni kabla hawajujua shida, au umaskini ni nini.
 
Tanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam na mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.
Alieongoza shambulio la DusitD2 alikua na demu mkristo ambae alipohotubiwa baada ya jama kuuliwa, demu alikua haamini, alisema jamaa alikua mkarimu Sana tena mpenda watu na alikua na uhusiano mwema na majirani wote! Endelea kufincha kichwa ndani ya mchanga
 
Sababu kuu 3 zinazosababisha Kenya kushambuliwa sana na Alshabaab
1) Kuwepo KDF ndani ya Somalia
2) Chuki iliyokithiri kati ya vyombo vya usalama vya Kenya na waisilamu maeneo ya pwani.
3) Udhahifu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya.
4)Ukabila na Rushwa
 
5) dhulma ya Kenya dhidi ya Somalia juu ya eneo halali la kiuchumi baharini.
 
Wishful thinking!
 
Huyo atakuwa ni lone wolf tuu.
 
Is Safaricom recording your calls and sendind to rogue elements within your government as their sister Vodacom Tanzania?

Tanzania is doomed.
 
Naomba tuache huu upumbavu jamani. Utaandikaje post kama hii. Vita mbaya ndugu, mimi ni mtanzania ila nilishuhudia vita ya Kenya 2007, nilikuwa somea uko, sasa nipo chuo. Ndugu zangu vita ni mbaya. Tusiombeane vita. Damu itamwagika, tupoteze ndugu n marafiki wapenzi ndio tutajua vita sio kitu cha mchezo. Tusiombee laana itufiie. Asante
 
Tatizo mfumo wetu wa kupata habari umeyumba Sana siku hizi, TISS inabeba majukumu ya chama tawala inaacha majukumu yake husika, polisi makachero nao hawafanyi kazi kwa uweledi, Jwtz tatizo lipo ktk nguvu kazi, wale jamaa wa msumbiji ilibidi tuwamalize mapema Sana kipindi scouting zao zipo kibiti na kilwa shida system sijui ilidharau ( underestimate the power of enemy)
Lazima tujipange upya na kufanya kazi kwa uweledi siyo mazoea
 
Nilikutana na mmoja alikwenda kupigana vita ya Kuwait, baada ya vita alipanda ndege kwenda UK. Ilikuwa miaka ya 90.

Immigration officer anamuuliza unakwenda wapi akajibu kuwa yeye ni raia wa Tanzania alikuwa mwana jeshi wa Kuwait lakini hajui future yake ikoje.

Walimshauri aombe ukimbizu, baada ya hapo aliwekwa kwenye 4* Hotel na voucher ya Marks and Spencer’s kwa nguo za baridi.

Mambo yamebadilika sana
 
Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…