Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Mkenya mwenzangu, mambo ya tanzania waachie watanzania. Mambo yao Hayatuhusu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam na mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.The only reason hawajaanzisha jihad Tz ni kwasababu Tz haionekani kuwaonea waislamu...
Issue ya korosho mnaitumia sana kudiscredit him, but serikali ilikuwa na lengo zuri, la kuwasaidia. Nyinyi mnahisi sijui ni kuwanyonya, ili nini sasa.Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.
Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.
Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.
Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).
Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.
Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.
Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.
Watu wanaona bora wajilipue tu.
Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.
Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
I'm telling you, they're financing also, but Tz ni mpango wa Mungu. Watatii.Wanakesha wakiombea mabaya Tz meanwhile mabaya yanawatokea kwao
The social fabric in Tanzania is strong but msisahau kuwa vijana wanatoka Tanzania kujiunga na Magaidi walioko Somalia na Mozambique mnafaa muanze kufanya criminal profiling mapema ilimuweze kuzi sambaratisha cells za recruitment zilizoko Tanzania.Tanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam au mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.
Ahsante sana.Kaka haya matatizo unayoyazungumzia tulikua nayo hapa Tanzania tangu tunapata Uhuru. Enzi za Mwalimu Nyerere hali ya Uchumi na ajira ilikua mbaya zaidi, MZEE Mwinyi alipoingiza Azimio la Zanzibar, unajua vizuri sana kilichotokea hadi wahisani wote wakasimamisha misaada yao, Jakaya Kikwete alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha, ndiye aliyefanya kazi kubwa kwenda kuwashawishi kurudisha Misaada.
MZEE Mkapa alirudisha nchi katika mstari, alipoingia JK, rushwa, upungufu wa ajira, ajali, migomo vyuoni na wafanyakazi hasa madaktari vilitamalaki. Kipindi hiki ndio tuliona vijana wengi sana wakivuka mipaka kwenda kujiunga na vikundi vya ugaidi, na wengine kurudi na kuanza kushambulia makanisa na viongozi wa dini huko Zanzibar. Majambazi wengi toka Kenya waliingia Tanzania na kuvunja Benki zetu wakati wa mchana. Sasa hivi yote hayo ni historia, usalama umedhibitiwa vizuri sana, na hakuna ajali za Mara kwa Mara.
Japo wigo wa demokrasia umepungua ukilinganisha na tawala zilizopita, lakini mambo Mengi mazuri yamefanyika katika kipindi hiki, huo ndio ukweli
Pointi yangu ya msingi, ya kwamba sehemu yenye umasikini na kukosa matumaini ni shamba lenye rutuba ya kuotesha mbegu mbaya za ugaidi, haijajibiwa.Ahsante sana.
Nilitaka kumjibu Kiranga haya uliyo andika umenisaidia.
Awamu ya raisi Kikwete ndio wakati ambao taifa la Tanzania lilikuwa dhaifu sana dhidi ya ueneaji wa vikundi vya kighaidi na ujambazi.
Mafunzo na matukio hayo yaliongezeka kwa kasi bila udhibiti mkubwa wa haraka.
Upo sahihi kabisa.Pointi yangu ya msingi, ya kwamba sehemu yenye umasikini na kukosa matumaini ni shamba lenye rutuba ya kuotesha mbegu mbaya za ugaidi, haijajibiwa.
Sijasema kwamba Kikwete alikuwa kaweza kuudhibiti ugaidi, hivyo ukinijibu kwa kuniambia Kikwete alikuwa dhaifu kwa hili, unajibu swali ambalo sijauliza.
N akwa kutojibu hoja ya umasikini na kukosa matumaini vinavyochochea mawazo ya ugaidi, unakuwa hujajibu hoja niliyoleta.
Umejibu ambacho sijahoji, nilichohoji hujajibu.
Alieongoza shambulio la DusitD2 alikua na demu mkristo ambae alipohotubiwa baada ya jama kuuliwa, demu alikua haamini, alisema jamaa alikua mkarimu Sana tena mpenda watu na alikua na uhusiano mwema na majirani wote! Endelea kufincha kichwa ndani ya mchangaTanzania tumeoleana sana baina ya makabila na dini, Kila mtanzania unayemuona ana ndugu muislam na mkristo. Kwa hiyo kama nchi ni ndugu moja, hao jamaa kila wakijaribu kupanga maovu taarifa zinatoka, kwa kuwa tuna umoja baina yetu.
Sababu kuu 3 zinazosababisha Kenya kushambuliwa sana na AlshabaabAlieongoza shambulio la DusitD2 alikua na demu mkristo ambae alipohotubiwa baada ya jama kuuliwa, demu alikua haamini, alisema jamaa alikua mkarimu Sana tena mpenda watu na alikua na uhusiano mwema na majirani wote! Endelea kufincha kichwa ndani ya mchanga
5) dhulma ya Kenya dhidi ya Somalia juu ya eneo halali la kiuchumi baharini.Sababu kuu 3 zinazosababisha Kenya kushambuliwa sana na Alshabaab
1) Kuwepo KDF ndani ya Somalia
2) Chuki iliyokithiri kati ya vyombo vya usalama vya Kenya na waisilamu maeneo ya pwani.
3) Udhahifu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya.
4)Ukabila na Rushwa
Wishful thinking!Tanzania, might be facing threats of extreme terrorism in coming days .
This is are the 3 reasons why;
1.The leadership of ISIS in Mozambique is Tanzanian youth who were inspired into Islamic Fundamentalism by Kenya radical preacher Aboud Rogo. In DRC, dozens of Tanzanians are leading the Islamic States group ISCAP further complicating scope of counter extremism operations in the region. It is highly possible grassroots jihadists with foreign training will conduct attacks in the country. However what is not clear is which Islamist group will be responsible. Both Al-Qaeda and ISIS have presence in the country.
2.The country has produced a significant number of fighters operating in Somalia, Mozambique, and DRC.
![]()
3 Tanzanians Captured Fighting for Al-Shabaab in Afmadow, Southern Somalia
Thursday, 25th July 2019, Latest military intelligence reports from Somalia indicate that three (3) Tanzanians fighting for the Al-Qaeda affiliate, Al-Shabaab have been captured in a military operation conducted in Afmadow, Somalia. Military source...intelligencebriefs.com
3.Presence radical clerics and cells reqruiting jobless youths without government knowledge.
Huyo atakuwa ni lone wolf tuu.Alieongoza shambulio la DusitD2 alikua na demu mkristo ambae alipohotubiwa baada ya jama kuuliwa, demu alikua haamini, alisema jamaa alikua mkarimu Sana tena mpenda watu na alikua na uhusiano mwema na majirani wote! Endelea kufincha kichwa ndani ya mchanga
Is Safaricom recording your calls and sendind to rogue elements within your government as their sister Vodacom Tanzania?Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?
![]()
Hotels face Sh800m hit over Dusit attack
The effects of a terrorist attack in January at the DusitD2 Hotel complex and offices are set to affect this year’s hotel earnings.www.businessdailyafrica.com
Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!
![]()
Somalia: President Farmajo More of an Ally to Terrorism Than Against It
Somalia's president is no ally against terrorism<p>When Somalia's largely appointed Parliament and Senate elected Mohamed Abdullahi Mohamed, or Farmajo as he is better known, president, there was optimism in the West. Farmajo was young, he was a former prime minister and diplomat, and he had...menafn.com
Mh financing?I'm telling you, they're financing also, but Tz ni mpango wa Mungu. Watatii.
Naomba tuache huu upumbavu jamani. Utaandikaje post kama hii. Vita mbaya ndugu, mimi ni mtanzania ila nilishuhudia vita ya Kenya 2007, nilikuwa somea uko, sasa nipo chuo. Ndugu zangu vita ni mbaya. Tusiombeane vita. Damu itamwagika, tupoteze ndugu n marafiki wapenzi ndio tutajua vita sio kitu cha mchezo. Tusiombee laana itufiie. AsanteComing from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?
![]()
Hotels face Sh800m hit over Dusit attack
The effects of a terrorist attack in January at the DusitD2 Hotel complex and offices are set to affect this year’s hotel earnings.www.businessdailyafrica.com
Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!
![]()
Somalia: President Farmajo More of an Ally to Terrorism Than Against It
Somalia's president is no ally against terrorism<p>When Somalia's largely appointed Parliament and Senate elected Mohamed Abdullahi Mohamed, or Farmajo as he is better known, president, there was optimism in the West. Farmajo was young, he was a former prime minister and diplomat, and he had...menafn.com
Nilikutana na mmoja alikwenda kupigana vita ya Kuwait, baada ya vita alipanda ndege kwenda UK. Ilikuwa miaka ya 90.Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.
Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.
Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.
Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).
Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.
Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.
Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.
Watu wanaona bora wajilipue tu.
Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.
Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.The social fabric in Tanzania is strong but msisahau kuwa vijana wanatoka Tanzania kujiunga na Magaidi walioko Somalia na Mozambique mnafaa muanze kufanya criminal profiling mapema ilimuweze kuzi sambaratisha cells za recruitment zilizoko Tanzania.
This year alone US has issued 2 travel advisories citing possible terror threats.
Anyway hakuna anaye watakia mabaya