muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,627
- 4,445
No body can try to challenge Tanzania, our security apparatus are the best in this zoneFinally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.
Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.
No body can try to challenge Tanzania, our security apparatus are the best in this zone
'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.Kaka haya matatizo unayoyazungumzia tulikua nayo hapa Tanzania tangu tunapata Uhuru. Enzi za Mwalimu Nyerere hali ya Uchumi na ajira ilikua mbaya zaidi, MZEE Mwinyi alipoingiza Azimio la Zanzibar, unajua vizuri sana kilichotokea hadi wahisani wote wakasimamisha misaada yao, Jakaya Kikwete alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha, ndiye aliyefanya kazi kubwa kwenda kuwashawishi kurudisha Misaada.
MZEE Mkapa alirudisha nchi katika mstari, alipoingia JK, rushwa, upungufu wa ajira, ajali, migomo vyuoni na wafanyakazi hasa madaktari vilitamalaki. Kipindi hiki ndio tuliona vijana wengi sana wakivuka mipaka kwenda kujiunga na vikundi vya ugaidi, na wengine kurudi na kuanza kushambulia makanisa na viongozi wa dini huko Zanzibar. Majambazi wengi toka Kenya waliingia Tanzania na kuvunja Benki zetu wakati wa mchana. Sasa hivi yote hayo ni historia, usalama umedhibitiwa vizuri sana, na hakuna ajali za Mara kwa Mara.
Japo wigo wa demokrasia umepungua ukilinganisha na tawala zilizopita, lakini mambo Mengi mazuri yamefanyika katika kipindi hiki, huo ndio ukweli
Ambia Mods waache kudelete posts zangu.
utter bollocks! we are closely monitering your presence in mozambique. welcome to the fight against religious extremism.
Those will be dealt accordingly, brace yourselvesutter bollocks! we are closely monitering your presence in mozambique. welcome to the fight against religious extremism.
Jamiiforums sio kijiwe cha kuweka story za uwongo za kuokota okota ovyo,Ambia Mods waache kudelete posts zangu.
Those will be dealt accordingly, brace yourselves
It's not that easy with Tz my friend. Ugaidi siyo kuhusu kuminywa kwa haki, ugumu wa maisha na hizo bla bla nyingine. Ukitaka jiulize swali jepesi tu. Ni kwa nini chokochoko za ugaidi ziibuke South-East Tz na North East Mozambique?Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.
Asie na uwezo wa kufikiri ndie huanza kutoa lawama kwa wengine na kujibanza kwa Mungu. Hoja zilizoelezwa uwezekano wa kutokea ugaidi Tanzania zimeeleweka. Kudai Kenya inaiombea Tanzania mabaya ni kushindwa kuchambua hoja. Kumbuka Kenya inaitegemea sana Tanzania kwa soko la bidhaa zake, haina muda kumwombea mabaya mteja wake. Hawana muda wa kukaririshwa nini serikali imefanya kama huku kwetu as if sisi ni vipofu.The social fabric in Tanzania is strong but msisahau kuwa vijana wanatoka Tanzania kujiunga na Magaidi walioko Somalia na Mozambique mnafaa muanze kufanya criminal profiling mapema ilimuweze kuzi sambaratisha cells za recruitment zilizoko Tanzania.
This year alone US has issued 2 travel advisories citing possible terror threats.
Anyway hakuna anaye watakia mabaya
At its face value.No body can try to challenge Tanzania, our security apparatus are the best in this zone
Umeomba nitaje japo mambo 2 mazuri, wewe ni mtanzania lakini huyaoni, ngoja niombe majirani wakusaidie'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
Ulikuwa wapi wakati Corona inaanza Kenya ilipoongoza dunia katika kuiombea mabaya Tanzania na kuitangazia dunia kwamba maiti zimezagaa mitaani na Hospitali zimejaa?Asie na uwezo wa kufikiri ndie huanza kutoa lawama kwa wengine na kujibanza kwa Mungu. Hoja zilizoelezwa uwezekano wa kutokea ugaidi Tanzania zimeeleweka. Kudai Kenya inaiombea Tanzania mabaya ni kushindwa kuchambua hoja. Kumbuka Kenya inaitegemea sana Tanzania kwa soko la bidhaa zake, haina muda kumwombea mabaya mteja wake. Hawana muda wa kukaririshwa nini serikali imefanya kama huku kwetu as if sisi ni vipofu.
Wakenya wanakujibu'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
Jirani anaona kinachotokea kwako [emoji23][emoji23][emoji23]'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
Uliza gaidi covid 19. Kilicho mpata tzUnamaanisha nini ukisema hamjafika hali ya watu kukata tamaa? Unajua ni watanzania wangapi tumeshika huku Kenya wakijaribu kuingia Somalia??
Hali ngumu ya maisha ni moja wepo ya sababu tu.... E.g aliongoza mashambulizi ya garisaa alikua amesoma hadi 4th year University...
Hawa alashabaab waliouliwa na KDF kwa hii picha Kuna raia was Tz, uarabuni....UK, US, huyo ambae ameonyeshwa na hio arrow anaitwa Thomas Evans kutoka UK, alipolelewa hakukua na waislamu, inasemekana aliangalia video mtandaoni na kuvutiwa na propaganda za jihad, alipofika miaka 16 akasafiri Egypt kusoma kiarabu alipomaliza akapitia Sudan, Ethiopia alafu ndo akaingia Somalia alipopewa mafunzo...
The only reason hawajaanzisha jihad Tz ni kwasababu Tz haionekani kuwaonea waislamu... Hata sisi tulikua hivyo kabla tutume wanajeshi Somalia, miaka hio yote tulikua hatushambuliwi .... Kwahivyo wale waislamu wenye itikadi Kali huko Tz wanaona no heri wakasaidie ndugu zao huko Somalia..etc... Lakini jaribuni kufanya Jambo ambalo litaonekana kama mnalenga waislamu, jaribuni kutuma majeshi Somalia au kusaidia jeshi la Somalia na silaha za kivita au mafunzo ya kijeshi alafu uone vile hali itageuka....
Unafaa ujiulize kama dhahabu yenu inaweza kuibwa na msiishike huko kwenu (imajin kama hizo kilo 35 za dhahabu ingekua no kilo 35 za vilipuzi/grenade), tuje tuishike huku Kenya, kama mwizi wa benki anaweza kukimbia Tz na tumshike huku Kenya.... Kama dawa za kulevya kama cocaine,heroin..etc zinaingia Tz bila kushikwa, kama ndovu,kifaru wanauliwa na pembe zao kuuzwa nje ya nchi bila kushikwa..... Inakuaje unafikiri mko na uwezo wa kuzulia magaidi wakiamua kuwapiga vita vya jihad????? Ni watanzania wangapi hua wanafungwa baada ya polisi kufanya upelelezi wa aina ya juu ambapo muizi au muuaji alikua ni mtu amejipanga na kujificha kabisa Hadi ikabidi polisi wakabidi watumie mbinu za kisayansi ili kumshika mshukiwa Tena wanampeleka kotini na ushahidi unasababishwa wafungwe jela ..