Why Tanzania might be treading on dangerous waters

Why Tanzania might be treading on dangerous waters

Haha[emoji23][emoji23] Kenyan idiocy boasting at it's best. You can even control petty criminals in Nairobi. They are causing havoc and you want to come here and tech us how to protect our country [emoji23][emoji23][emoji23]

Al shabaab is taking you for a ride! People are leaving their estates coz of crime! You can't even walk in peace in Nairobi!

Clean your mess first and then come and teach us how keep ourselves safe.
 
Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.

Ndio kampeni mliyopewa saivi muianzishe ili kuleta usumbufu kwenye msimu huu wa utalii? Hamjakoma tu na hizo assignment zenyeu ambazo zina backfire na ku-explode at your face na kuwaletea madhara katika uchumi wenu huku mabwana zenu wakiwacheka na kugonganisha glass za mvinyo?
 
utter bollocks! we are closely monitering your presence in mozambique. welcome to the fight against religious extremism.
No body can try to challenge Tanzania, our security apparatus are the best in this zone
 
Kaka haya matatizo unayoyazungumzia tulikua nayo hapa Tanzania tangu tunapata Uhuru. Enzi za Mwalimu Nyerere hali ya Uchumi na ajira ilikua mbaya zaidi, MZEE Mwinyi alipoingiza Azimio la Zanzibar, unajua vizuri sana kilichotokea hadi wahisani wote wakasimamisha misaada yao, Jakaya Kikwete alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha, ndiye aliyefanya kazi kubwa kwenda kuwashawishi kurudisha Misaada.

MZEE Mkapa alirudisha nchi katika mstari, alipoingia JK, rushwa, upungufu wa ajira, ajali, migomo vyuoni na wafanyakazi hasa madaktari vilitamalaki. Kipindi hiki ndio tuliona vijana wengi sana wakivuka mipaka kwenda kujiunga na vikundi vya ugaidi, na wengine kurudi na kuanza kushambulia makanisa na viongozi wa dini huko Zanzibar. Majambazi wengi toka Kenya waliingia Tanzania na kuvunja Benki zetu wakati wa mchana. Sasa hivi yote hayo ni historia, usalama umedhibitiwa vizuri sana, na hakuna ajali za Mara kwa Mara.

Japo wigo wa demokrasia umepungua ukilinganisha na tawala zilizopita, lakini mambo Mengi mazuri yamefanyika katika kipindi hiki, huo ndio ukweli
'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
 
utter bollocks! we are closely monitering your presence in mozambique. welcome to the fight against religious extremism.

There is no any deployment of Tanzanian military personnel in the Mozambique territory. Tanzania forces only create a buffer zone at the boarder between Msumbuji, but they don`t enter at that country.
 
utter bollocks! we are closely monitering your presence in mozambique. welcome to the fight against religious extremism.
Those will be dealt accordingly, brace yourselves
 
Ambia Mods waache kudelete posts zangu.
Jamiiforums sio kijiwe cha kuweka story za uwongo za kuokota okota ovyo,

Hizo story za kuokota okota zipeleke kwenye forums zenu za kikabila huko ushago,

Ukiendeela kuweka zitafutwa tu,

''Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limesikitishwa mno na taarifa hizo na kwa ujumla ni kwamba hatukutarajia kabisa kwamba jambo hilo lingeweza kuzungumziwa kwasbabu Tanzania haina wanajeshi ambao wamevuka mpaka na kuingia Msumbiji'', alisema bwana Sipe.
''Hadi kufikia sasa tunakalia maeneo yetu ya utendaji ambayo hayahusiani kabisa na operesheni zozote za Msumbiji'', alisema Luteni Sipe.

Kwa jumla ni kwamba utendaji wa jeshi la Tanzania upo katika maeneo yake ya kawaida kabisa katika kutekeleza ulinzi wa mipaka yake na operesheni zake hazihusiani kivyovyote vile na harakati zinazoendelea nchini Msumbiji.
 
Finally it looks like Tanzania has officially been drafted into the war on terror.
It's not that easy with Tz my friend. Ugaidi siyo kuhusu kuminywa kwa haki, ugumu wa maisha na hizo bla bla nyingine. Ukitaka jiulize swali jepesi tu. Ni kwa nini chokochoko za ugaidi ziibuke South-East Tz na North East Mozambique?

Jiulize kuhusu timing ya huo ugaidi wa Tz/Mozambique vs ugunduzi wa raslimali ya gesi! Unakumbuka namna Boko haram iliibuka Nigeria? Unakumbuka Al Shabaab iliingiaje Kenya? It's easy, very easy.

Ugaidi huchipua na kumea kwenye mataifa yenye uongozi dhaifu unaojificha kwenye vivuli vya demokrasia, utu, na upuuzi mwingine. Ndiyo sababu mpaka leo kuna wapuuzi wanaolaumu serikali ya Tz kwa namna ilivyoendesha operation ya MKIRU iliyokata mizizi ya huo ugaidi.

Kinachonikera ni udhaifu wa kiutawala Msumbiji ambao umeruhusu ugaidi huo kumea na hivyo lazima tutapata shida mipakani kwa kuzingatia nature ya mipaka yetu.

Take it from me. Ugaidi na Tanzania will always be maji na moto. Kwa sababu we do not hesitate to hit anyone trying to mess with our nation's security.
 
The social fabric in Tanzania is strong but msisahau kuwa vijana wanatoka Tanzania kujiunga na Magaidi walioko Somalia na Mozambique mnafaa muanze kufanya criminal profiling mapema ilimuweze kuzi sambaratisha cells za recruitment zilizoko Tanzania.

This year alone US has issued 2 travel advisories citing possible terror threats.

Anyway hakuna anaye watakia mabaya
Asie na uwezo wa kufikiri ndie huanza kutoa lawama kwa wengine na kujibanza kwa Mungu. Hoja zilizoelezwa uwezekano wa kutokea ugaidi Tanzania zimeeleweka. Kudai Kenya inaiombea Tanzania mabaya ni kushindwa kuchambua hoja. Kumbuka Kenya inaitegemea sana Tanzania kwa soko la bidhaa zake, haina muda kumwombea mabaya mteja wake. Hawana muda wa kukaririshwa nini serikali imefanya kama huku kwetu as if sisi ni vipofu.
 
'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
Umeomba nitaje japo mambo 2 mazuri, wewe ni mtanzania lakini huyaoni, ngoja niombe majirani wakusaidie
 
Asie na uwezo wa kufikiri ndie huanza kutoa lawama kwa wengine na kujibanza kwa Mungu. Hoja zilizoelezwa uwezekano wa kutokea ugaidi Tanzania zimeeleweka. Kudai Kenya inaiombea Tanzania mabaya ni kushindwa kuchambua hoja. Kumbuka Kenya inaitegemea sana Tanzania kwa soko la bidhaa zake, haina muda kumwombea mabaya mteja wake. Hawana muda wa kukaririshwa nini serikali imefanya kama huku kwetu as if sisi ni vipofu.
Ulikuwa wapi wakati Corona inaanza Kenya ilipoongoza dunia katika kuiombea mabaya Tanzania na kuitangazia dunia kwamba maiti zimezagaa mitaani na Hospitali zimejaa?
 
'Mambo mengi mazuri yalifanyika' ungetaja walau 2 ingependeza. Unaposema hali ya ajira enzi za Nyerere ilikuwa mbaya we ni mwongo kwani vyuo vikuu vilikuwa vichache, mikopo vyuoni haikuwepo na wahitimu vyuo vikuu wote waliajiriwa tena kwa kujaza mikataba ya kufanya kazi miaka 5 bila kwenda nje ya serikali.
Wakenya wanakujibu
 
Jirani anaona kinachotokea kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ugaidi ni mambo mawili tu, moja udini, mbili, ukabila bhaasi.
 
Unamaanisha nini ukisema hamjafika hali ya watu kukata tamaa? Unajua ni watanzania wangapi tumeshika huku Kenya wakijaribu kuingia Somalia??

Hali ngumu ya maisha ni moja wepo ya sababu tu.... E.g aliongoza mashambulizi ya garisaa alikua amesoma hadi 4th year University...

Hawa alashabaab waliouliwa na KDF kwa hii picha Kuna raia was Tz, uarabuni....UK, US, huyo ambae ameonyeshwa na hio arrow anaitwa Thomas Evans kutoka UK, alipolelewa hakukua na waislamu, inasemekana aliangalia video mtandaoni na kuvutiwa na propaganda za jihad, alipofika miaka 16 akasafiri Egypt kusoma kiarabu alipomaliza akapitia Sudan, Ethiopia alafu ndo akaingia Somalia alipopewa mafunzo...

thomas-evans-body-with-arrow.jpg

The only reason hawajaanzisha jihad Tz ni kwasababu Tz haionekani kuwaonea waislamu... Hata sisi tulikua hivyo kabla tutume wanajeshi Somalia, miaka hio yote tulikua hatushambuliwi .... Kwahivyo wale waislamu wenye itikadi Kali huko Tz wanaona no heri wakasaidie ndugu zao huko Somalia..etc... Lakini jaribuni kufanya Jambo ambalo litaonekana kama mnalenga waislamu, jaribuni kutuma majeshi Somalia au kusaidia jeshi la Somalia na silaha za kivita au mafunzo ya kijeshi alafu uone vile hali itageuka....
Unafaa ujiulize kama dhahabu yenu inaweza kuibwa na msiishike huko kwenu (imajin kama hizo kilo 35 za dhahabu ingekua no kilo 35 za vilipuzi/grenade), tuje tuishike huku Kenya, kama mwizi wa benki anaweza kukimbia Tz na tumshike huku Kenya.... Kama dawa za kulevya kama cocaine,heroin..etc zinaingia Tz bila kushikwa, kama ndovu,kifaru wanauliwa na pembe zao kuuzwa nje ya nchi bila kushikwa..... Inakuaje unafikiri mko na uwezo wa kuzulia magaidi wakiamua kuwapiga vita vya jihad????? Ni watanzania wangapi hua wanafungwa baada ya polisi kufanya upelelezi wa aina ya juu ambapo muizi au muuaji alikua ni mtu amejipanga na kujificha kabisa Hadi ikabidi polisi wakabidi watumie mbinu za kisayansi ili kumshika mshukiwa Tena wanampeleka kotini na ushahidi unasababishwa wafungwe jela ..
Uliza gaidi covid 19. Kilicho mpata tz
Kama kovidi imeshindwa sembuse magaidi
 
Back
Top Bottom