Why Tanzania might be treading on dangerous waters

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Posts
1,375
Reaction score
1,362
Tanzania, might be facing threats of extreme terrorism in coming days .
This is are the 3 reasons why;
1.The leadership of ISIS in Mozambique is Tanzanian youth who were inspired into Islamic Fundamentalism by Kenya radical preacher Aboud Rogo. In DRC, dozens of Tanzanians are leading the Islamic States group ISCAP further complicating scope of counter extremism operations in the region. It is highly possible grassroots jihadists with foreign training will conduct attacks in the country. However what is not clear is which Islamist group will be responsible. Both Al-Qaeda and ISIS have presence in the country.

2.The country has produced a significant number of fighters operating in Somalia, Mozambique, and DRC.

3.Presence radical clerics and cells reqruiting jobless youths without government knowledge.
 
Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?

Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!

Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.

Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.

Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.

Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).

Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.

Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.

Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.

Watu wanaona bora wajilipue tu.

Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.

Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
 
Hao jamaa walikuwa Kibiti, Tanzania wakauliwa wengine waliobaki wakakimbilia Msumbiji.
 
Lakini umemuelewa huyo jamaa hapo, binafsi napenda sana kuskia magaidi wameuawa, iwe huku Kenya au kokote duniani, lakini muhimu sana kuzingatia pia chanzo cha haya yote. Hamna kitu kibaya kama jamii kuanza kuhisi kwamba magaidi wana point kutokana na ugumu wa maisha, wakianza kuwaona kama wapigania uhuru, hapo ndio huwa mwanzo wa matatizo makubwa.

Kuwapiga magaidi hadi uwasambaratishe ni kazi rahisi sana, KDF waliifanya kule Somalia ndani ya siku chache Alshabaab wakawa wamepoteana, lakini kuwatoa kwenye nyoyo za jamaii ndio huwa mtihani, lazima utumie nguvu nyingi bila kuonyesha ubabe au dharau. Maana bila hivyo ndio vimelea vyao huanza kuchipuka na kabla hujazinduka unashangaa matukio yanajitokeza ambayo hukua umejiandaa nayo.
 
Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.

Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.

Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.

Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).

Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.

Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.

Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.

Watu wanaona bora wajilipue tu.

Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.

Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
unaongea kwa hisia na mtu akisoma kama ana uelewa na haya mambo anaweza kukubali ila jaribu kutafiti kwanza namna ya watu jinsi walivyo hulka yao na mazingira wanayoishi je ni rahisi kihivyo.?
 
Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?

Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!

We might be rivals but sometimes you guys have to take some things seriously. Terrorists aren't your allies and they are moving South After failing in Kenya. Rogo was a deadly radicalization Master in Kenya that worked with Al Shabaab and ISIS to radicalize East African Muslim youths including Tanzania.
Terrorism has no boundaries na mtajua hamjui na hii kuburi yenu. Tanzania has no secure boundaries, no country does.
 
Coming from a Kenyan that her borders r not secured! An attack will happen in Kunyaland before taking place in Tanzania. When did the last attack occur in Kenya? This year right?

Unless u have just forgot ur major dispute with Somalia over maritime boundary!

Am not taking about Somalia read carefully and you will understand.
 
Sehemu yoyote ambayo haina matumaini ni rahisi sana kuingiliwa na wimbi la ugaidi.

Tusijidanganye kwamba tunaweza kuyafumbia macho matatizo ya watu wengi sana ya kiuchumi, halafu tubakie salama tu kwenye mambo kama ugaidi.

Vijana ambao hawana ajira, hawana elimu na hawana matumaini ni rahisi sana kurubuniwa au hata kujirubuni wenyewe kwamba ugaidi ni kitu sahihi cha kufuata.

Nakumbuka mwaka 1990 wakati nakatiza Upanga hapa Kanisa la Immaculata, mkabala na ubalozi wa Iraq, barabara ya Umoja wa Mataifa, karibu na daraja la Salender, nilikuwa naona watu wengi sana wamejipanga nje ya ubalozi, walikuwa wanafuatilia namna ya kwenda vitani (siku hizo vita ilikuwa imeanza kati ya Marekani na Iraq).

Wale masela wengi walikuwa wanasema wanatafuta njia ya kutoka nje ya Tanzania tu waende kutafuta maisha nje. Yani katika akili zao, waliona ni bora kwenda vitani ili kutoka Tanzania, kuliko kukaa Tanzania.

Na mpaka leo, ingawa kuna wengi wamehubiriwa mahubiri ya ugaidi, kimsingi inakuwa rahisi kuwapata kwa sababu nchi yao wenyewe haijawapa matumaini, elimu wala kazi.

Kibaya zaidi, wanaona wenzao ambao wana connections mambo yao yanaenda poa, hata kama hawana qualifications.

Watu wanaona bora wajilipue tu.

Na ikifikia sehemu serikali yenyewe haikubaliki na wananchi, mara imeharibu ununuzi wa korosho, mara imenyanyasa wapinzani, hata baadhi ya wananchi wanaweza kuona hao magaidi wana point, ni kama freedom fighters.

Siwatetei, naeleza hali inayosababisha mtu kujiingiza katika vikundi hivi, na tatizo hili kukua zaidi.
We jamaa hujaa porojo zako tu!!. Wizi haufai tafuta shughuli ya kufanya.
 
Hamna kitu kibaya kama jamii kuanza kuhisi kwamba magaidi wana point kutokana na ugumu wa maisha, wakianza kuwaona kama wapigania uhuru, hapo ndio huwa mwanzo wa matatizo makubwa.
Tanzania haijafikia hali ya watu kukata tamaa na kuwa magaidi wale jamaa wa kibiti ni walikuwa ni wataalam waliopanga kuiharibu nchi.
 
Tanzania, might be facing threats of extreme terrorism in coming days .
This is are the 3 reasons why;
1.The leadership of ISIS in Mozambique is Tanzanian youth who were inspired into Islamic Fundamentalism by Kenya radical preacher Aboud Rogo. In DRC, dozens of Tanzanians are leading the Islamic States group ISCAP further complicating scope of counter extremism operations in the region. It is highly possible grassroots jihadists with foreign training will conduct attacks in the country. However what is not clear is which Islamist group will be responsible. Both Al-Qaeda and ISIS have presence in the country.

2.The country has produced a significant number of fighters operating in Somalia, Mozambique, and DRC.

3.Presence radical clerics and cells reqruiting jobless youths without government knowledge.
Kaka haya matatizo unayoyazungumzia tulikua nayo hapa Tanzania tangu tunapata Uhuru. Enzi za Mwalimu Nyerere hali ya Uchumi na ajira ilikua mbaya zaidi, MZEE Mwinyi alipoingiza Azimio la Zanzibar, unajua vizuri sana kilichotokea hadi wahisani wote wakasimamisha misaada yao, Jakaya Kikwete alipoteuliwa kuwa Waziri wa Fedha, ndiye aliyefanya kazi kubwa kwenda kuwashawishi kurudisha Misaada.

MZEE Mkapa alirudisha nchi katika mstari, alipoingia JK, rushwa, upungufu wa ajira, ajali, migomo vyuoni na wafanyakazi hasa madaktari vilitamalaki. Kipindi hiki ndio tuliona vijana wengi sana wakivuka mipaka kwenda kujiunga na vikundi vya ugaidi, na wengine kurudi na kuanza kushambulia makanisa na viongozi wa dini huko Zanzibar. Majambazi wengi toka Kenya waliingia Tanzania na kuvunja Benki zetu wakati wa mchana. Sasa hivi yote hayo ni historia, usalama umedhibitiwa vizuri sana, na hakuna ajali za Mara kwa Mara.

Japo wigo wa demokrasia umepungua ukilinganisha na tawala zilizopita, lakini mambo Mengi mazuri yamefanyika katika kipindi hiki, huo ndio ukweli
 
Am not taking about Somalia here read carefully and you will understand.
Kenya mnashambuliwa sana na Ugaidi kutokana na sababu kuu 3
1) Jinsi mnavyowapiga na kudhibiti vikundi vya waasilamu maeneo ya pwani, viongozi wengi wa kiislam na vijana wameuliwa kinyama na kupitezwa, kuna chuki kubwa miongoni mwa waislamu na serikali ya Kenya.

2) Rushwa, Ukabila na upendeleo katika nchi yenu. Hivi vimesababisha watu wengi kujiona hawana haki ndani ya Kenya.

3) Udhahifu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya. Ni jambo la kushangaza kuona Ethiopia ambayo unapigana na Alshabaab miaka mingi hata kabla ya Kenya, Ethiopia ina wasomali wengi kuliko Kenya, Ethiopia ina mpaka mrefu na Somalia kuliko Kenya, lakini haishambuliwi kama inavyoshambuliwa Kenya.
 
Tanzania haijafikia hali ya watu kukata tamaa na kuwa magaidi wale jamaa wa kibiti ni walikuwa ni wataalam waliopanga kuiharibu nchi.
Unamaanisha nini ukisema hamjafika hali ya watu kukata tamaa? Unajua ni watanzania wangapi tumeshika huku Kenya wakijaribu kuingia Somalia??

Hali ngumu ya maisha ni moja wepo ya sababu tu.... E.g aliongoza mashambulizi ya garisaa alikua amesoma hadi 4th year University...

Hawa alashabaab waliouliwa na KDF kwa hii picha Kuna raia was Tz, uarabuni....UK, US, huyo ambae ameonyeshwa na hio arrow anaitwa Thomas Evans kutoka UK, alipolelewa hakukua na waislamu, inasemekana aliangalia video mtandaoni na kuvutiwa na propaganda za jihad, alipofika miaka 16 akasafiri Egypt kusoma kiarabu alipomaliza akapitia Sudan, Ethiopia alafu ndo akaingia Somalia alipopewa mafunzo...

thomas-evans-body-with-arrow.jpg

The only reason hawajaanzisha jihad Tz ni kwasababu Tz haionekani kuwaonea waislamu... Hata sisi tulikua hivyo kabla tutume wanajeshi Somalia, miaka hio yote tulikua hatushambuliwi .... Kwahivyo wale waislamu wenye itikadi Kali huko Tz wanaona no heri wakasaidie ndugu zao huko Somalia..etc... Lakini jaribuni kufanya Jambo ambalo litaonekana kama mnalenga waislamu, jaribuni kutuma majeshi Somalia au kusaidia jeshi la Somalia na silaha za kivita au mafunzo ya kijeshi alafu uone vile hali itageuka....
Unafaa ujiulize kama dhahabu yenu inaweza kuibwa na msiishike huko kwenu (imajin kama hizo kilo 35 za dhahabu ingekua no kilo 35 za vilipuzi/grenade), tuje tuishike huku Kenya, kama mwizi wa benki anaweza kukimbia Tz na tumshike huku Kenya.... Kama dawa za kulevya kama cocaine,heroin..etc zinaingia Tz bila kushikwa, kama ndovu,kifaru wanauliwa na pembe zao kuuzwa nje ya nchi bila kushikwa..... Inakuaje unafikiri mko na uwezo wa kuzulia magaidi wakiamua kuwapiga vita vya jihad????? Ni watanzania wangapi hua wanafungwa baada ya polisi kufanya upelelezi wa aina ya juu ambapo muizi au muuaji alikua ni mtu amejipanga na kujificha kabisa Hadi ikabidi polisi wakabidi watumie mbinu za kisayansi ili kumshika mshukiwa Tena wanampeleka kotini na ushahidi unasababishwa wafungwe jela ..
 
We jamaa hujaa porojo zako tu!!. Wizi haufai tafuta shughuli ya kufanya.

Kama hujaonesha porojo zangu ziko wapi, kwa nini hizo ni porojo, umezipima kwa kipimo gani, umewezaje kujiridhisha hizo ni porojo na unathibitishaje nimefanya wizi, wewe, kwa kusema mimi napiga porojo, na nafanya wizi, utakuwa unapiga porojo kubwa zaidi yangu.
 
unaongea kwa hisia na mtu akisoma kama ana uelewa na haya mambo anaweza kukubali ila jaribu kutafiti kwanza namna ya watu jinsi walivyo hulka yao na mazingira wanayoishi je ni rahisi kihivyo.?
Unataka kutumia kipimo gani kuangalia kitimizwe ili ukubali ni rahisi au si rahisi?

Na kwa nini hicho kiwe ndicho kipimo?
 
Kenya mnashambuliwa sana na Ugaidi kutokana na sababu kuu 3
1) Jinsi mnavyowapiga na kudhibiti vikundi vya waasilamu maeneo ya pwani, viongozi wengi wa kiislam na vijana wameuliwa kinyama na kupitezwa, kuna chuki kubwa miongoni mwa waislamu na serikali ya Kenya.

2) Rushwa, Ukabila na upendeleo katika nchi yenu. Hivi vimesababisha watu wengi kujiona hawana haki ndani ya Kenya.

3) Udhahifu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya Kenya. Ni jambo la kushangaza kuona Ethiopia ambayo unapigana na Alshabaab miaka mingi hata kabla ya Kenya, Ethiopia ina wasomali wengi kuliko Kenya, Ethiopia ina mpaka mrefu na Somalia kuliko Kenya, lakini haishambuliwi kama inavyoshambuliwa Kenya.
4) Dhulma, Kunyaland wameiba Somali territorial waters! Hapa wanawapa sababu Wasomali kuungana Jihadists na non Jihadists!
 
Kama hujaonesha porojo zangu ziko wapi, kwa nini hizo ni porojo, umezipima kwa kipimo gani, umewezaje kujiridhisha hizo ni porojo na unathibitishaje nimefanya wizi, wewe, kwa kusema mimi napiga porojo, na nafanya wizi, utakuwa unapiga porojo kubwa zaidi yangu.
Siwezi kuanza kujibishana na jobless.
Acha wizi. Usidhani hujulikani. Huu ni ushauri wa bure.
 
Back
Top Bottom