#COVID19 Why U.K made U-turn on draconian COVID mandates

Shida yako ni; you are overaweful in each and everything, hata katika mambo ya maana wewe unata tuogope sababu kwakuwa umesikia kuna "njama" fulani za kuhujumu humanity, kama kuna watu wanaotaka kuhujumu humanity huwezi kupinga moja kwamoja kwamba hakuna watu pia wanao support humanity, katika kila zama walikuwepo watu wa aina zote mbili, Katika suala la chanjo case ni hiyohiyo cha msingi ni kupima ni chanjo ipi imeletwa kuhujumu humanitybna ipi ipo kwa ajili ya kusuport humanity lakini sio kupinga tu kila chanjo kana kwamba leo dunia yote pamekuwa sio salama tena kuishi.
Dunia sio mahali salama kabisa pa kuishi mkuu,kama unadhani ni salama huijui kabisa Dunia.Wapo watu wazuri kabisa duniani,lakini kwa bahati mbaya they have no say in how the World is run.
 
Sio kweli hicho usemacho, dunia ni salama zaidi kuliko hatari zilizopo, yaani kama utaweka balance basi kuna Wema mwingi duniani kuliko ubaya na ndio maana bado maisha yanaendelea, trials and tribulations are necessary in same cases as they-- sometimes-- play important roles to make the world move ahead, sio kila "baya" ni lazima liwe na negative impact saa nyingine "baya" huchochea positive impact, mfano soma kisa cha Nabii Joseph/Yusuph jinsi nduguze walivyomtendea na hatima yake ilikuwa vipi ?!!, kama duniani mabaya yangekithiri basi maramoja dunia ingaliangamia au to be precise God would have annihilated it.
 
He is buying time,kikombe hakijajaa.Sijui wewe ni mtu wa namna gani,lakini kama ungekuwa in your right mind,usingeona Dunia ni mahali salama pa kuishi.Ndio maana nasema huijui Dunia.Hili la the so called C-19 vaccine lenyewe linatosha kukuonyesha kwamba Dunia sio mahali salama pa kuishi.Kama binadamu mwenzio anaweza kukudunga sumu mbaya kama ya C-19 killer shot,unahitaji nini zaidi kujua kwamba Dunia sio mahali salama pa kusishi.Hebu cheki contents za C-19 killer shot kwenye hii 👇scientific paper.It is so horrific.

Kwa cases kama hizo basi dunia haikuwa, haiko na wala haitakuwa mahala salama pa kuishi.

Usichojua ni hiki; Shetani anazo njia zake na Mungu anazo njia zake, njia za shetani haziwezi kuzidi njia za Mungu, binadamu tumeumbwa na Mungu tuje kumuabudu hapa duniani, njia za shetani zinapotamalaki zaidi ya njia za Mungu kamwe Mungu hawezi kuiacha hii dunia iendelee katika njia za shetani bali ataiangamiza hii dunia.

Huko unakokuona kukosekana kwa usalama wa dunia ni majaribu na vikwazo vya shetani ambavyo kwavyo ni ngazi za kupandia madaraja ya kiroho na ustawi.

Hebu chukua mfano huu; Mtu anajenga nyumba na anaweka madirisha, milango, paa nk na anaongezea grills na mageti ya chuma, why???--- bila shaka ni kwa ajili ya usalama wa maisha na mali zake kutokana na Wahalifu, je huyo mtu aseme; nyumba hiyo sio salama kuishi kwasababu ya hao wahalifu??!!---- katika mfano huo nyumba ndiyo dunia, Wahalifu ndio Watu waovu duniani na nwenye nyumba ndio watu wema duniani na milango, madirisha, grills nk, ndio njia za kukabiliana na hao watu waovu duniani, sasa kama huwezi kusema hiyo nyumba si salama kuishi ni hivyohivyo huwezi kusema dunia sio mahali pa salama kuishi, Trials and tribulations are part of world affairs and they serve the world to move forward in many areas.

Kuhusu hizo chanjo za C-19; zipo za Rna messenger na zile za Conventional ambapo anatumiwa kirusi halisi kilichopunguzwa nguvu (mitigated) au sehemu ya protein yake kutengeneza chanjo, chanjo ya Pfizer ni Rna messenger na chanjo ya Johnson inatumia protein/kirusi chenyewe na kuna chanjo nyingi kama Sinovac, Sputnik na hivi karibuni ni chanjo ya kutoka Cuba, sasa huwezi kusema kwamba chanjo zote hizo ARE MEANT TO HARM HUMANITY inawezekana zipo lakini lakini tusiwe blindfolded kwamba chanjo zote hizo ni mpango mchafu wa wahalifu kuangamiza dunia, Ugonjwa wa C-19 upo na lazima dunia itafute antidote salama ya huo ugonjwa na hapo ndipo ninasema; dunia ni salama zaidi kuishi kuliko hatari zilizopo na hiyo ni kazi ya Mungu mtukufu kutuwekea usalama.
 
Tuachane aisee,uko ignorant sana,siwezi kujifunza chochote kwako.
 
Mkumbuke Qatar huko mwaka huu ni Kombe la dunia na ni miezi michache imebaki
Hapa tunaanza kuandaliwa njia taratibu mask [emoji40] tupa kule

Dunia hii mmh
Watu wame invest huko mjue
 
Recently the Prime Minister of the United Kingdom, Boris Johnson announced that the country is dropping all COVID restrictions, including the mandatory COVID passes.

The prime minister said masks would no longer be required anywhere. Not in shops, not on public transport, not in schools, not outside. Better yet, the removal of masks in schools is effective today.

What happened? Why the sudden reversal of policy in one of the countries that supported some of the most draconian pandemic policies?

On December 30, prestigious medical journal The Lancet published the results of a study that demonstrated that 89% of new U.K. COVID cases were among those fully vaccinated. 89%!

It went one step further to highlight the vaccinated population as a source of transmission of COVID-19.
READ ALSO: Netherlands joins UK, others, eases COVID restrictions

The research went even further, “The COVID-19 case rate per 100,000 was higher among the subgroup of the vaccinated compared to the subgroup of the unvaccinated.”

“Fourteen fully vaccinated patients became severely ill or died, the two unvaccinated patients developed mild disease. It appears to be grossly negligent to ignore the vaccinated population as a possible and relevant source of transmission when deciding about public health control measures.”

The data was irrefutable. No matter what the U.K. tried over the last two years, absolutely nothing stopped the spread. Remote work didn’t work, sanitizing our hands didn’t work, masking didn’t work, vaccine passports didn’t work, and most certainly the COVID-19 “vaccines” didn’t stop the spread.

And almost as if in coordination, the Centers for Disease Control (CDC) in the U.S. released new research that demonstrated that people who had previously been infected with COVID-19 and recovered were better protected against the Delta variant than those who are vaccinated alone.

In a shocking admission from the epicenter of COVID fearmongering, The New York Times stated yesterday, “Unvaccinated people with a history of COVID also had lower rates of infection and hospitalization than those protected by vaccines alone.” It went further, saying, “The data are consistent with trends observed in international studies.”

We’ve known that those vaccinated still catch and transmit COVID-19 to others. It’s the spread of Omicron that has made this fact so obvious. We’ve experienced it in our own lives and networks of friends, family, and colleagues.

The U.K. now joins Sweden, which was the stalwart of logic in successfully employing evidence-based policy decisions based on scientific research, not political narratives.

Sweden has proven to be an incredible model throughout the pandemic. Thankfully, at least one country got it right. I hope other countries will learn from it.
Hahahaha wazungu bwana 😂😂
 
Tuachane aisee,uko ignorant sana,siwezi kujifunza chochote kwako.

Sio huwezi kujifunza kutoka kwangu bali hutaki kujifunza kutoka kwangu, tuendelee tu ili ni expose your stubborn ignorance.

Unashikilia na kushadidia vitu visivyokuwa na msingi!!!, you have to reset your mindset in this regard.

Haiwezekani kwamba chanjo ZOTE ziwe ni machinations to harm humanity, yes there might be some but not all.
 
Mokaze kaa pembeni wewe sio saizi yangu!
 
Mkumbuke Qatar huko mwaka huu ni Kombe la dunia na ni miezi michache imebaki
Hapa tunaanza kuandaliwa njia taratibu mask [emoji40] tupa kule

Dunia hii mmh
Watu wame invest huko mjue
Watu wana discuss mambo ya msingi halafu wewe unaleta distortion hapa,mkuu vipi? Inaelekea jamaa (NWO) wamekubana mbavu kweli kweli,you are dancing to their tune,pole sana.
 
Hayo mambo ya msingi yepi tumechanjwa mara tatu mpaka booster juu
Hiyo World order wala siamini ungekuwa huku niliko ungenielewa

Tumeruhusiwa kwenda kuwatembelea wazee kwenye nursing homes
Safari zimeanza kufunguka sasa hapo utanielewa baada ya miezi kadhaa mkuu
 
Okay,kama umechanja na booster three times vuta subira.Sikutakii mabaya,ila athari zinajitokeza from 0-3 years.

Lakini kwa nini uingize mwilini mwako vitu ambavyo ni vya majaribio?Sijui akili zetu zikoje,so umekubali kuwa a test animal or Guinea Pig,dah!

Finally,hivi kwa nini unadhani wana-ease restrictions?Soma mada yangu vizuri utapata jibu.
 
Naelewa unachoongea na wengi pia wamekataa kuchoma na wengi tumechoma
Ni miaka miwili sasa mkuu tangu janga hili lianze na nilikuwa hapa [emoji636] wakati watu wanapukutika kama kuku

Sasa imagine kama wewe ungefanya nini halafu umepoteza watu wa karibu it was scary
I am over 50 now kwa hiyo kama kupumzika mda ukifika ntaondoka tu

Kama chanjo tumechomwa nyingi tu sio hizi tu
Ila naomba iwe kinga na sio vingine

Haijanipa reaction zozote ila hatuombi mabaya kama ulivyosema
Nashukuru kwa hilo
 
Okay,kama umechanja na booster three times vuta subira.Sikutakii mabaya,ila athari zinajitokeza from 0-3 years.

Lakini kwa nini uingize mwilini mwako vitu ambavyo ni vya majaribio?Sijui akili zetu zikoje,so umekubali kuwa a test animal or Guinea Pig,dah!

Finally,hivi kwa nini unadhani wana-ease restrictions?Soma mada yangu vizuri utapata jibu.

Nimeelewa vizuri mada yako mkuu
 
Naelewa unachoongea na wengi pia wamekataa kuchoma na wengi tumechoma
Ni miaka miwili sasa mkuu tangu janga hili lianze na nilikuwa hapa
emoji636.png
wakati watu wanapukutika kama kuku

Sasa imagine kama wewe ungefanya nini halafu umepoteza watu wa karibu it was scary
I am over 50 now kwa hiyo kama kupumzika mda ukifika ntaondoka tu

Kama chanjo tumechomwa nyingi tu sio hizi tu
Ila naomba iwe kinga na sio vingine

Haijanipa reaction zozote ila hatuombi mabaya kama ulivyosema
Nashukuru kwa hilo
Ulikuwa na hakika gani kwamba kweli kilichokuwa kinawaua hao unaosema wamekufa ni ugonjwa unaoitwa Covid-19? Afterall kipimo kinachotumika kupima Covid, the RT-PCR test, kinapima 97% false positives!

Kumbuka pia kwamba,the Western Mainstream Media na our local media ambayo ni mouth piece of the Western Media na politicians wa nchi za Magharibi are not trustworthy kwa kuwa they are stooges of the NWO.Never trust them.

Umetumia neno "kupukutuka," I don't think that is true.Mkuu mbona hatuoni watu wanao anguka barabarani,mbona hospitali zetu zina operate normally,mbona in the streets of Dar,Mwanza,Dodoma etc.watu wanaendelea na shuhuli zao kama kawaida,na only the misinformed few wear barakoas.Tena vijijini ndio kabisaa,hakuna hiyo kitu.

Mkuu hivi common sense tu haikuambii kwamba hii kitu ni fake.Yes death rates zimeongezeka even in Europe after the Plandemic declaration by 40%.You know what,they timed the rise in death numbers to coincide with death numbers as a result of genocidal protocols which they have imposed upon humanity,not that their is the so called Covid!Nia ni ku-create fear ili watu wakubali the so called C-19 vaccines.Mkuu COV-SARs iwe 1,2,19 or 21 causes a normal flu and is nothing to worry about na watu wengine they do not even feel the flu!Ni utapeli tu unao endelea.
 
Ulikuwa na hakika gani kwamba kweli kilichokuwa kinawaua hao unaosema wamekufa ni ugonjwa unaoitwa Covid-19? Afterall kipimo kinachotumika, the RT-PCR test kinapima 97% false positives!

Kumbuka pia kwamba,the Western Mainstream Media na our local media ambayo ni mouth piece of the Western Media na politicians wa nchi za Magharibi are not trustworthy kwa kuwa they are stooges of the NWO.Never trust them.

Umetumia neno "kupukutuka," I don't think that is true.Mkuu mbona hatuoni watu wanao anguka barabarani,mbona hospitali zetu zina operate normally,mbona in the streets of Dar,Mwanza,Dodoma etc.watu wanaendelea na shuhuli zao kama kawaida,na only the misinformed few wear barakoas.Tena vijijini ndio kabisaa,hakuna hiyo kitu.

Mkuu hivi common sense tu haikuambii kwamba hii kitu ni fake.Yes death rates zimeongezeka even in Europe after the Plandemic declaration by 40%.You know what,they timed the rise in death numbers to coincide with death numbers as a result of genocidal protocols which they have imposed upon humanity,not that their is the so called Covid!Nia ni ku-create fear ili watu wakubali the so called C-19 vaccines.Mkuu COV-SARs iwe 1,2,19 or 21 causes a normal flu and is nothing to worry about na watu wengine they do not even feel the flu!Ni utapeli tu unao endelea.

Kwa hili nakubaliana na wewe kuhusu kuwauwa watu linawezekana sana
Hilo tumeliona ila walipinga na kusema ni uongo
Kwa kweli watu walipukutika sana na lockdowns sijui zilikuwa za nini maana kuna jamaa yangu yeye kila siku alikuwa anakuja kwangu na hajali na hajapata hata kikohoo ingawa nilikuwa nina wasiwasi ila hakuamini kabisa

Wengi waliokufa walikuwa ni wazee waliokuwa nursing homes na hospitals
Na watu wengi tukadhani kwa kuwa serikali inawahudumia miaka na miaka wakiwa wamelala tu na gharama ni nyingi ndio wakaja na mkakati huo
Tukaambiwa ni conspiracy theory
Wengine NWO ila tumeyapita yote
 
Back
Top Bottom