Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #41
Mkuu usiamini serikali yeyote duniani,no goverment has your best interest at heart.Serikali zote duniani ni evil,take care of your own life and health of loved ones,usitegemee serikali kabisa.Kwa hili nakubaliana na wewe kuhusu kuwauwa watu linawezekana sana
Hilo tumeliona ila walipinga na kusema ni uongo
Kwa kweli watu walipukutika sana na lockdowns sijui zilikuwa za nini maana kuna jamaa yangu yeye kila siku alikuwa anakuja kwangu na hajali na hajapata hata kikohoo ingawa nilikuwa nina wasiwasi ila hakuamini kabisa
Wengi waliokufa walikuwa ni wazee waliokuwa nursing homes na hospitals
Na watu wengi tukadhani kwa kuwa serikali inawahudumia miaka na miaka wakiwa wamelala tu na gharama ni nyingi ndio wakaja na mkakati huo
Tukaambiwa ni conspiracy theory
Wengine NWO ila tumeyapita yote
Kuhusu vifo in elderly homes,upo ushahidi wa kutosha kwamba waliuwawa.The reason being that wanaifirisi serikali!