Mkuu usiamini serikali yeyote duniani,no goverment has your best interest at heart.Serikali zote duniani ni evil,take care of your own life and health of loved ones,usitegemee serikali kabisa.Kwa hili nakubaliana na wewe kuhusu kuwauwa watu linawezekana sana
Hilo tumeliona ila walipinga na kusema ni uongo
Kwa kweli watu walipukutika sana na lockdowns sijui zilikuwa za nini maana kuna jamaa yangu yeye kila siku alikuwa anakuja kwangu na hajali na hajapata hata kikohoo ingawa nilikuwa nina wasiwasi ila hakuamini kabisa
Wengi waliokufa walikuwa ni wazee waliokuwa nursing homes na hospitals
Na watu wengi tukadhani kwa kuwa serikali inawahudumia miaka na miaka wakiwa wamelala tu na gharama ni nyingi ndio wakaja na mkakati huo
Tukaambiwa ni conspiracy theory
Wengine NWO ila tumeyapita yote
Mkuu usiamini serikali yeyote duniani,no goverment has your best interest at heart.Serikali zote duniani ni evil,take care of your own life and health of loved ones,usitegemee serikali kabisa.
Kuhusu vifo in elderly homes,upo ushahidi wa kutosha kwamba waliuwawa.The reason being that wanaifirisi serikali!
Mkuu waliwaua tena hata dawa waliyotumia nilikuwa naijua,ila nimejaribu kutafuta hiyo script kwenye mtandao nimeikosa,possibly wameshaifuta.Nikiipata kama nikikumbuka nitakuletea.Hilo naamini kabisa na walipukutishwa haswa sasa wazee wamepungua sana
I swear kuna dada namjua alikuwa anafanya kazi kwa wazee kila siku anasema maiti zilikuwa zinatoka kwa makumi
Ila wao hata kikohoo hawapati na chanjo zilikuwa bado
Walitufungia ndani watu wakasema wanamwaga sumu nje ukitoka tu una kufa watu tukahaha pamoja na uzungu wao tukawa tunapishana mbali barabarani
Dunia hii ila wakidhamiria kutumaliza wanaweza na mpango ulikuwa wazee kwa kweli
Wanakaa hospitali miaka na wakipelekwa kuhudumiwa wanaeeza kukaa hata miaka 20 hapo chakula, madawa, kuogeshwa, kubebwa, usafi, halafu life expectancies kubwa sana
Wanagonga 100 wengi
Mkuu waliwaua tena hata dawa waliyotumia nilikuwa naijua,ila nimejaribu kutafuta hiyo script kwenye mtandao nimeikosa,possibly wameshaifuta.Nikiipata kama nikikumbuka nitakuletea.
Inasikitisha sana kwa kweli,huruma imepotea kabisa kwa the "establishment" au "The Powers To Be." Wao wanawaza pesa,how to control humanity na enslavement,human life si kitu kabisa kwao.Kabisa mkuu wamewauwa nasubiri mkitupa Dual citizenship turudi tu [emoji24]
Huku wazungu wameelewa mchezo na wengi sasa kutokana na vifo na gharama wameamua kuwapeleka wazazi wao Philippines, Malaysia na Thailand huko wanasema wana huruma sana kwa wazee
Kwa hiyo mtu anampeleka mzazi wake huko analipa kwa mwezi na maisha yanaenda badala ya kuwaacha hapa wakiteseka
Inasikitisha sana kwa kweli,huruma imepotea kabisa kwa the "establishment" au "The Powers To Be." Wao wanawaza pesa,how to control humanity na enslavement,human life si kitu kabisa kwao.
Nafiria tu huo umbali na jinsi ya kuwatembelea,ni ghali sana.
Mwisho,karibu nyumbani mkuu,huko kumeharibika sana.