Why we sleep? Na mbona ukikurupushwa unakuwa na wenge?

Why we sleep? Na mbona ukikurupushwa unakuwa na wenge?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,869
Reaction score
11,484
Huwa najiuliza sana why we sleep?

Tukilala Huwa tunakwenda wapi?

Tunapolala fofofo ndiyo Huwa tunafanya majaribio ya kufariki?

Je je mbona ukimshtua ghafla mtu aliyetoka kulala usingizi mzito ukamuuliza kitu Huwa ni kama hana kumbukumbu zozote ?

Naitaji kujua why we sleep?
 
Kuna watu wakilala yaani ni kama wamekufa tu maana hata litokee tetemeko la ardhi bado utakuja kuwahadithia kesho yake.
 
Baadhi ya wadudu/wanyama hua wanajivua gamba ili ku-restart miili yao, hvy hvy kwa wanadamu wanalala ili ku-restart miili yetu, sasa tukiwa kwenye hiyo process tunakuwa unconscious hvy ukimuamsha anakuwa bado kwenye wenge/unconscious mana ile process haijamalizika
 
Kuna siku nilimwambia dogo (Approx. miaka 10), nenda kalale ukue.

Jibu: Hakuna uhusiano wa kulala na kukua.
Ukuaji unakwenda kwa hatua, akatoa mfano wa mdudu, Larva, pupa, insect.

Nikakubaliana naye. Nikamuuliza tena vipi kuhusu binadamu?

Jibu: Binadamu anaanza na fetus, child then adult.
Nikachomekea “huyo fetus mpaka kuwa adult ni kwasababu analala 😁

Jibu: Hapana, ni kwasababu anakula anakunywa maji na kupumua.

Kiukweli siku nzima haya majibu yalikuwa yakizunguka kichwani.
 
We always sleep and wakeup, to rehearse the actual longtime, life changing, sleep ahead of us
 
Baadhi ya wadudu/wanyama hua wanajivua gamba ili ku-restart miili yao, hvy hvy kwa wanadamu wanalala ili ku-restart miili yetu, sasa tukiwa kwenye hiyo process tunakuwa unconscious hvy ukimuamsha anakuwa bado kwenye wenge/unconscious mana ile process haijamalizika
mbona hatuponi UKIMWI kama tuna restart miili?
 
mbona hatuponi UKIMWI kama tuna restart miili?
Hilo swali ni sawa na kusema mbona tunaendelea kula wakati tulishkula na tukaenda ku-restart miili yetu, ku-restart ni kuupa mwili nguvu mpya, kuupumzisha ili uweze kurudisha energy iliyopotea siku nzima.
 
Back
Top Bottom