Kuna watu wakilala yaani ni kama wamekufa tu maana hata litokee tetemeko la ardhi bado utakuja kuwahadithia kesho yake.Huwa najiuliza sana why we sleep?
Tukilala Huwa tunakwenda wapi?
Tunapolala fofofo ndiyo Huwa tunafanya majaribio ya kufariki?
Je je mbona ukimshtua ghafla mtu aliyetoka kulala usingizi mzito ukamuuliza kitu Huwa ni kama hana kumbukumbu zozote ?
Naitaji kujua why we sleep?
"why we sleep" ila bongo na kingereza duh!!!👿English yako hiyo
Why we sleep?
Hujaelewa Nini hapo mkuu, jamaa labda kuweka ? Ndiyo imeharibu lakini why we sleep ni kiingereza fasaha kabisa chenye maana ya sababu tunalala ama kwanini tunalala."why we sleep" ila bongo na kingereza duh!!!👿
Hii ndo bongolala.Hujaelewa Nini hapo mkuu, jamaa labda kuweka ? Ndiyo imeharibu lakini why we sleep ni kiingereza fasaha kabisa chenye maana ya sababu tunalala.
Sijakuelewa mkuuHii ndo bongolala.
Ikikaa hivi " why do we sleep?"Hujaelewa Nini hapo mkuu, jamaa labda kuweka ? Ndiyo imeharibu lakini why we sleep ni kiingereza fasaha kabisa chenye maana ya sababu tunalala ama kwanini tunalala.
mbona hatuponi UKIMWI kama tuna restart miili?Baadhi ya wadudu/wanyama hua wanajivua gamba ili ku-restart miili yao, hvy hvy kwa wanadamu wanalala ili ku-restart miili yetu, sasa tukiwa kwenye hiyo process tunakuwa unconscious hvy ukimuamsha anakuwa bado kwenye wenge/unconscious mana ile process haijamalizika
Hilo swali ni sawa na kusema mbona tunaendelea kula wakati tulishkula na tukaenda ku-restart miili yetu, ku-restart ni kuupa mwili nguvu mpya, kuupumzisha ili uweze kurudisha energy iliyopotea siku nzima.mbona hatuponi UKIMWI kama tuna restart miili?
Nope in anyway ndiyo maana nikakuambia Hiyo Alama ya kuuliza ndiyo imeleta shida but Kila kitu kipo sawaIkikaa hivi " why do we sleep?"