Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana na serikali wameshikilia migodi huko! ndiyo maana ana urafiki na Rutto mkubwa. Tanzania hapa kama tunavyojua kuna wizi mkubwa wa Gold na wakina Samia ndiyo vinara jamaa akija hapa anabeba Gold na pesa inawekwa hukohuko Dubai. Lakini Zimbabwe nao wana Gold nao alikuwa anapiga deal na Raisi wa Zimbabwe na hakaguliwi.
Lakini Zimbabwe kuna biashara haramu kubwa ya kubadilisha pesa huyu ndiye alikuwa kinara. Urafiki na Samia ni wizi tu hakuna mengine
Lakini Zimbabwe kuna biashara haramu kubwa ya kubadilisha pesa huyu ndiye alikuwa kinara. Urafiki na Samia ni wizi tu hakuna mengine