Alikua na biashara gani na Samuya?SI KWELI
na pia je hakuna "mengine" kweli?Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana na serikali wameshikilia migodi huko! ndiyo maana ana urafiki na Rutto mkubwa. Tanzania hapa kama tunavyojua kuna wizi mkubwa wa Gold na wakina Samia ndiyo vinara jamaa akija hapa anabeba Gold na pesa inawekwa hukohuko Dubai. Lakini Zimbabwe nao wana Gold nao alikuwa anapiga deal na Raisi wa Zimbabwe na hakaguliwi.
Lakini Zimbabwe kuna biashara haramu kubwa ya kubadilisha pesa huyu ndiye alikuwa kinara. Urafiki na Samia ni wizi tu hakuna mengine
Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana na serikali wameshikilia migodi huko! ndiyo maana ana urafiki na Rutto mkubwa. Tanzania hapa kama tunavyojua kuna wizi mkubwa wa Gold na wakina Samia ndiyo vinara jamaa akija hapa anabeba Gold na pesa inawekwa hukohuko Dubai. Lakini Zimbabwe nao wana Gold nao alikuwa anapiga deal na Raisi wa Zimbabwe na hakaguliwi.
Lakini Zimbabwe kuna biashara haramu kubwa ya kubadilisha pesa huyu ndiye alikuwa kinara. Urafiki na Samia ni wizi tu hakuna mengine
Gold reserve ya BOT ipo salama kweli?
Saa100 kumkabidhi Ikulu! Imekula kwetuItakuaje salama
Hizo deal wanafanya wengi ni kama hapa enzi ya jiwe alikuwa na kijana wake rip mpemba na hata uebrt angel na wengine wanaojifanya watumishi wa Mungu wengi wanafanya hizo deals.Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana na serikali wameshikilia migodi huko! ndiyo maana ana urafiki na Rutto mkubwa. Tanzania hapa kama tunavyojua kuna wizi mkubwa wa Gold na wakina Samia ndiyo vinara jamaa akija hapa anabeba Gold na pesa inawekwa hukohuko Dubai. Lakini Zimbabwe nao wana Gold nao alikuwa anapiga deal na Raisi wa Zimbabwe na hakaguliwi.
Lakini Zimbabwe kuna biashara haramu kubwa ya kubadilisha pesa huyu ndiye alikuwa kinara. Urafiki na Samia ni wizi tu hakuna mengine
Walishazifisadi kitambo mbona na kwa financial crisis inayokuja tutegemee TZS kushuka sana thamani vibaya sana maana haitakuwa na dhahabu za kutosha kuiback upGold reserve ya BOT ipo salama kweli?
Huyu jamaa alikuwa ni mpatanishi wa mahasimu pia
Hili nimesoma kwenye gazeti la Zimbabwe
Alikuwa anawapatanisha Chihuri na Rais wa ZimHapa alikua anapatanisha nani? Hao mahasimu? Huyo Dogo ni muhuni tu ambae alipata Opportunity lakini ushamba na ulimbukeni tu ndo
Ulimponza huyu ndogo kama
Rostam tu mbona rostam anakutana na Marais sana