Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.
Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?
=====
Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!
Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari

Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo