Wicknell Chivayo kuwekeza takriban Tsh. Bilioni 500 Ngongoro na Serengeti

Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.

Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.

Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

=====

Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!

Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari:BearLaugh::BearLaugh:

Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Huyu mwanamke na serikali yake batili, haramu wazalendo wamkataze kusaini mikataba kwa niaba ya Tanganyika.

Hawakuchaguliwa na umma hivyo hawana uhalali wa kuendesha serikali na kusaini mikataba kwa niaba yetu inayotufunga sisi Watanganyika

Samia, Abdul wanachojua ni kupiga mnada mali za Tanganyika. Tukipata uhuru mikataba yote aliyosaini huyu shetani kwa niaba ya Tanganyika ni lazima ipitiwe upya.
 
1782645120249.jpeg

Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo meets Tanzanian President Samia Suluhu Hassan, unveils plans to invest US$200 million in luxury hospitality projects in the Serengeti and Ngorongoro.
 
Wicknell Chivayo mzuka anayejibanza katika chochoro za Ikulu kadhaa barani Afrika | WICKNELL CHIVAYO NI NANI HASA

View: https://m.youtube.com/watch?v=RSZ7RCxbSNU

Mfanyabiashara mwenye utata mkubwa nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo — aliyehukumiwa kuwa mlaghai, anayedaiwa kuwa mpangaji wa uchaguzi, na dalali wa kuwaweka wanasiasa madarakani — amekuwa akiingia na kutoka Ikulu ya Nairobi kana kwamba anamiliki eneo hilo. Sasa hati ya uhamiaji iliyovuja inaonyesha kwamba anaweza kumiliki pasipoti ya Kenya.

Huyu Wicknell Chivayo ni nani? Kwa nini wakosoaji wakubwa wa wananyamaza ghafla kihusu huyu ruhani ? Na hii ina maana gani kwa uchaguzi wa Kenya wa 2027? Habari kamili, hakuna kichujio. --- TIMESTAMPS:
  • 00:00 – Hook: Mzuka ndani ya Ikulu
  • 00:30 - Wicknell Chivayo ni Nani?
  • 01:30 – Rekodi ya Jinai Wasiyotaka Uijue
  • 02:15 – Njia ya Kupoka Uchaguzi: Zimbabwe, Namibia, Tanzania … Kenya Inayofuata?
  • 03:10 – Kashfa ya Pasipoti ya Kenya, Eswatini
  • 04:00 – Kwa Nini Wakosoaji Wamenyamaza?
  • 05:00 - 2027 Inahusiana Nini na Haya Yote
  • 05:30 - Jambo la Msingi
 
Sir Wicknell Chivayo mshikaji wa karibu wa rais mtata 'mamba' Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe

25 June 2026
SAMIA HASSAN NA EMMERSON MNANGAGWA WASHUTUMIWA, HUKU SAMIA AKITOLEWA MFANO WA KUTUMIA DAMU KUBAKI MADARAKANI

Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika | Ft. Rais wa Zamani Ian Khama

View: https://m.youtube.com/watch?v=zTuclfcw4H8
Tumeona pia mifano hai Oktoba 25 2025 Tanzania kuna wanasiasa wamekwenda mbali, wameteka bunge na mchakato mzima wa uchaguzi, wakawafunga wapizani, wakazuia chama kikuu cha upinzani halafu wakaamua kufanya mauaji ya kutisha ya raia ili kubaki madarakani. Viongozi wa aina hii ni wagonjwa wa akili ! Anakazia jenerali Khama

Kwa Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika wameamua kuteka bunge na seneti baada ya kuwapachika bungeni wanasiasa hawa
Je, marekebisho ya katiba yanatumika kuimarisha demokrasia au kupanua mamlaka ya kisiasa?

Katika kipindi hiki cha Nation on Record, Rais wa zamani wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama anajadili mjadala unaokua kuhusu mipaka ya mihula ya urais, mabadiliko ya kikatiba, utawala wa kidemokrasia, na mrithi wa uongozi barani Afrika.

Kwa kutumia Zimbabwe kama mahali pa kuanzia, mazungumzo yanachunguza mitindo ya watawala kuigana kote barani kufanya mabadiliko haramu ya kikatiba, jukumu la SADC na Umoja wa Afrika, hali ya taasisi za kidemokrasia, na jinsi mustakabali wa Afrika unavyoweza kuonekana ikiwa viongozi wataendelea michezo hii hatari ya kuongeza muda wao wa kukaa madarakani.

Jiunge nasi kwa majadiliano ya wazi kuhusu demokrasia, uwajibikaji, haki za binadamu, na mustakabali wa uongozi wa Afrika.
Source : NR Nation on Record
 
View attachment 3617486
Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo meets Tanzanian President Samia Suluhu Hassan, unveils plans to invest US$200 million in luxury hospitality projects in the Serengeti and Ngorongoro.

Huyu anatumika na Mnangangwa kama mtu wake wa kusimamia biashara zake.

Hili dili la Serengeti na Ngorongoro Samia hakosi share za kutosha kwenye hiyo kampuni ya Wicknell Chivayo kama alivyofanya misitu yetu, makaa ya mawe, bandari, viwanja vya ndege.

Wamasai wamefukuzwa na kuuliwa bure kwa kisingizio cha kulinda mazingira. Lakini tunaona Serengeti na Ngorongoro inauzwa kwa Chivayo, UAE, Saudi nk. Wanataka kujenga viwanja vya ndege ndani za Mbuga.

Rasilimali zote muhimu za Watanganyika zinauzwa hovyo ndani ya hii miaka michache ya Samia.
 
Utakuta hizo pesa ni hizi hizi za viongozi wanaoiziiba, kisha wanamuita mtu wa nje kuja kujifanya ndio kawekeza kwa niaba yao nyuma ya pazia.
Dogo utalalama sana na utamkumbuka hayati JPM kwa kudhibiti ufisadi.
 
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.

Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.

Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

=====

Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!

Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari:BearLaugh::BearLaugh:

Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Hapo anatoa asilimia kumi tu pesa nyingine atakopeshwa na benki zetu
 
Asije akaruhusiwa kuaribu biashara ya utalii ya watanzania huko Ngorongoro na Serengeti, serikali iangalie sio mwekezaji analeta neema nchini.
 
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.

Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.

Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

=====

Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!

Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari:BearLaugh::BearLaugh:

Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Weka zile picha za kimalayamalaya alizopiga na lijimama lenye khanga moko ndembendembe
 
Mkiongozwa na watu hamnazo, mnatapeliwa na vijitapeli uchwara kama hichi.
 
Mjane atakuja kuolewa
 
Back
Top Bottom