You mean kununua 😂😂😂😂Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.
=====
Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!
Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari😂😂
Afadhali yeye ni mgalatia huu uwekezaji utakuwa na tija na baraka.Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.
Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?
=====
Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!
Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari
Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.
Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?
=====
Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!
Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari
Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Kata ya Uwanja wa Ndege (Serengeti): Inapatikana katika Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Tanzania . Wakazi wake kwa kufuata na takwimu za sensa ya mwaka 2022 ni watu 8,462.kata ya uwanja wa ndege huko zaidi ya 30km kutokea geti la mwisho. So utadakwa kabla haujatoka mbugani
Utakuta hizo pesa ni hizi hizi za viongozi wanaoiziiba, kisha wanamuita mtu wa nje kuja kujifanya ndio kawekeza kwa niaba yao nyuma ya pazia.Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.
Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na Ngorongoro, akisisitiza kuwa uwekezaji huo, ambao utahusisha kampuni yake ya Intratrek Holdings Group, utaongeza fursa za ajira na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa utalii Afrika.
Pia soma
~ Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya
~ Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?
=====
Majuzi bwana Chivayo amepata dili la kuwekeza uwanja wa ndege Kenya, leo kaja huku, nyuma amejaa makandokando kibao na maskendo ya kesho, ila mama aaaah hana baya!
Samia anasema aibu mtaona nyie, ye wala hana hata habari
Ikulu wameona wauchune maana Watanganyika tungejaza vichambo hapo
Wicknell Chivayo is a prominent, highly controversial Zimbabwean businessman known for his flamboyant lifestyle, political connections across East and Southern Africa, and involvement in multiple multi-million dollar tender scandals and high-profile legal battles.Business and Tender ControversiesChivayo has been at the center of numerous high-stakes government tenders that have sparked public outrage and media scrutiny:The ZEC Scandal: He was accused of fraudulently altering contracts and inflating invoices for a $40 million biometric voter registration tender awarded by the Zimbabwe Electoral Commission (ZEC).Gwanda Solar Project: His company, Intratrek, won a contract for the Gwanda solar project, which experienced major delays after millions were disbursed. Although he was eventually acquitted of related criminal charges in Zimbabwe, the deal has remained highly contested.Regional Airport and Infrastructure Ties: Reports linking his company, IMC Construction, to massive infrastructure deals—such as the multibillion-dollar expansion of Kenya's Jomo Kenyatta International Airport—have sparked massive pushback and debate, prompting denials from the Kenyan government. He was also linked to a massive planned $500 million cancer equipment contract and unveiled a Tsh. 500 Billion investment in Tanzania.Political ConnectionsChivayo's access to top political figures across the continent is a major source of public debate. He has been seen touring and conducting business alongside several heads of state, including Zimbabwe’s President Emmerson Mnangagwa, Kenya’s President William Ruto, and Tanzania's President Samia Suluhu Hassan. He also received Eswatini citizenship and a diplomatic passport directly from King Mswati III.Public Lifestyle and WealthKnown to his followers as "Sir Wicknell," he regularly uses social media to flaunt extreme wealth—frequently posting private jet trips, purchasing luxury vehicles for himself, and gifting high-end cars to musicians and associates.Personal and Legal BattlesBeyond business, his personal life has also played out in the public eye. Recently, he agreed to a $5 million child maintenance settlement with his ex-wife, Sonja Louise Madzikanda, following a highly publicized legal dispute over the upkeep of their two children.For a deeper look into who Wicknell Chivayo is, his vast wealth, and why his close ties to African presidents have caused so much public debate:Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo.