Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

Hawezi kuwepo kwasababu hakuwa billionaire
 
Nahisi yule jamaa chanzo cha pesa zake hakijulikani officially ndo maana hawezi kuwekwa hapo
 
Huyo jamaa utajiri wake ulikuwa mikononi mwa wale Marais wake wote alioshikamana nao kwenye dili zake chafu.
 
Mkuu huyo ndo Chief godlove wa Zimbabwe alichomzidi wa bongo ni koneksheni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…