WID: Dear Women...

WID: Dear Women...

Maana yake ni kwamba, ukiona choo ndotoni ukakitumia, akitoka usingizini utakuta umejichafua.

Nikihusianisha na wewe kutwambia eti unatupenda wakati huwa unasema ukikuta simba anamjeruhi mwanaume unaongezea tomato sauce, sasa leo useme unatupenda tujichanganye kukutokea kumbe una lako unataka kutufanyia, mimi hapana aisee.
ahahaaaa ukiona hivo ujue kuna simba ana njaa mahali nataka kumfurahisha
 
asante shemela la shemeji ! ila umeniudhi hapo ulipomtaja Nifah unajua wivu sina ila moyo unauma !
wanawake ni kweli tuna mchango mkubwa sana katika dunia ila ninaamini pasipo mwanaume pia hakuna lolote tunaweza kufanya .mwanamke na mwanaume ni special pair ambayo ni Ngumu kuitenganisha katika hii dunia.tunawapenda sana wanaume na tutazidi kuwaenzi katika kuifanya dunia iwe nzuri. upendo mwingi sana kwa wanaume wote duniani
tulia utavunja ndoa za watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenikumbusha wale Bonie & Clyde 'original'
Hahahahaaaaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji23]

Natamani niiweke stori yao hapa siku moja
 
Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.

Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.

Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.

Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.

Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.

Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
heeee hii couple matata sana mungu awasimamie

shkamoo jf kwa kuwaunganisha ............viva jf

mkataeni shetani maana huwa anavizia muda wote aharibu god bless you

hayo maneno hapo juu uliyomwandikia the bold ni matamu sipati picha ukiwa huko pembeni unakuwaje hapo hapindui ng'ooo safi
 
ahaaa sory mnatuchanganya jamani . hadi chupi mtakuwa mnavaliana eeh natamani na mimi nivae boxer ya mtu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cheupe angalia MN anachosema [emoji23]
 
unamgegeda tu ndugu yetu bure .jiongeze bna
Tatizo mnataka ng'ome sabini.. Sasa usawa wa bashite ng'ombe sabini labda niwaumbewenyewe.!!

Subirini najichanga, lazima nifanye halal.. Huyu mtoto wenu siwezi kumpoteza aisee!!
 
Back
Top Bottom