Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.
Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.
Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.
Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.
Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.
Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]