WID: Dear Women...

WID: Dear Women...

Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.

Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.

Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.

Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.

Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.

Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
wauuu this is so lovely an sweet
.
.
.
yan apa nawaza iz great historic events ambazo The Bold anaziandika umu akisema mpk j3 we unaipata either on spot au ukute keshamalza kukusimulia...bt anyway nimependa the way u guys apreciate one another esp public mana sio kaz ndogo
 
Nifah una maneno Matamu sana acha ndugu yangu adate....eti kama kuna vitu nilivyowahi kukosa katika maisha basi ni wewe mpenzi wngu!! Dah Hii line imenigusa sana...kumbe haya mambo hayahitaji rocket science ni ulimi wko2
 
Hahahah.!! uzuri pia huwa unahusika sana kwenye kuziandaa so dizaini huwa tunafanya discussion.. yeye ndio TBS wangu, kabla sijashea makala yoyote public lazima aihakiki kama iko kwenye ubora..
 
Nifah una maneno Matamu sana acha ndugu yangu adate....eti kama kuna vitu nilivyowahi kukosa katika maisha basi ni wewe mpenzi wngu!! Dah Hii line imenigusa sana...kumbe haya mambo hayahitaji rocket science ni ulimi wko2
Hahahahah... sitaki kujisifu ila daaaahh nafaidi sana mkuu.. [emoji4] [emoji4]
 
Awwwwwwwww thank you baby,asante kwa kunipenda namna hii The bold wangu.

Unanipenda hadi naona kweli napendwa haswaaaa.
Kama nikuambiavyo,sijawahi kupendwa kama unipendavyo wewe darling.
Mapenzi yako kwangu ni ya level ya juu kabisa.

Kama kuna vitu ambavyo sikuwahi kuwa navyo kabla basi ni wewe mpenzi wangu.
Mungu amenijaalia vingi,ila sikudhani kama kuna kitu alininyima hadi ulipokuja katika maisha yangu.

Ujio wako ktk maisha yangu umebadili kila kitu.
Nayapenda na kuona thamani ya maisha yangu sababu ya uwepo wako wewe.

Asante kwa kuendelea kuwa nami hata baada ya yale yote uambiwayo kunihusu mimi.
Ni mengi mnooo,hadi kuna wakati nahofia utakata tamaa uachane nami ila ajabu ni kwamba wewe ndio huwa unanifariji na kunisisitiza unanipenda sana and nothing can tear us apart.

Namshukuru Mungu kwa ajili yako The bold.
Nakuahidi kukupenda milele,nitakuwa rafiki,mpenzi,mke na mama bora kwa familia because you are the man I will marry
I love you [emoji8]
maneno matam sana haya!..kumbe hata ndoa badoo?…

Naomba kadi siku ikiwadia tafadhali bibie Nifah[emoji4]
 
Ninachopenda kuvaa cha The bold ni t-shirts zake.
Uwiiiiiii nikivaa na skin zinanitoaje? [emoji4] [emoji39]
Jaribu na boxer naimani utapendeza sana mbele ya macho ya Kichwa
 
sipati picha ila itakuwa ni special delivery sio ya nchi hiii shogaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] special delivery!..ha ha haahahaaaaa
kwa fundi cherehani tandale palee
 
Back
Top Bottom