Wife afuma Underwear kwa Gari...

Kwny gari mnavua chupi yann sasa...unaisogeza pembeni unaiwekea loki kwny shavu la K
 
ujue waive akishasema ivo na yeye kuna mahali kaacha underwear, hivyo na yeye anapahali pakukatia kiu yake,ngoma droo
 
hili jibu lako simchezo,wife kaapa,na yeye atatafuta wa kumpoza

Amwache atafute wa kwake wa kumpoza. Maana ndoa za siku hizi ni za mashindano ukimwaga ugali mi namwaga mboga. Na hao wake zenu wa kisasa wanavyo jua kujitengeneza basi looh anatongozeka vizuri na kirahisi. Ni kuomba Mungu sana at the end of the day watoto ndio wahanga wakubwa
 
Muombe msamaha tu ndugu yangu maana hicho ulichokifanya siyo. BTW nenda kapime ngoma kwanza.

Halafu siku ingine ukija kuomba ushauri ujiweke wazi kuwa ni wewe kwa sababu ID uliyonayo ni feki hatuwezi kukutambua
 
ehehe mkuu acha ku-assume hivyo
 
Wanaume oyeeeeee
 
Malipo ni hapa hapa Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…