Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aanh we balaa mkuuKwny gari mnavua chupi yann sasa...unaisogeza pembeni unaiwekea loki kwny shavu la K
ujue waive akishasema ivo na yeye kuna mahali kaacha underwear, hivyo na yeye anapahali pakukatia kiu yake,ngoma drooHabari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.
Weka alafu advise viewer's descretionchafu fulani hivi,haifai kuwekwa hapa
hili jibu lako simchezo,wife kaapa,na yeye atatafuta wa kumpoza
Habari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.
Muombe msamaha tu ndugu yangu maana hicho ulichokifanya siyo. BTW nenda kapime ngoma kwanza.
Halafu siku ingine ukija kuomba ushauri ujiweke wazi kuwa ni wewe kwa sababu ID uliyonayo ni feki hatuwezi kukutamb
tit for tat its a fair gameujue waive akishasema ivo na yeye kuna mahali kaacha underwear, hivyo na yeye anapahali pakukatia kiu yake,ngoma droo
ehehe mkuu acha ku-assume hivyoMuombe msamaha tu ndugu yangu maana hicho ulichokifanya siyo. BTW nenda kapime ngoma kwanza.
Halafu siku ingine ukija kuomba ushauri ujiweke wazi kuwa ni wewe kwa sababu ID uliyonayo ni feki hatuwezi kukutambua
Wanaume oyeeeeeeHabari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.
Malipo ni hapa hapa DunianiHabari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.
demu kwa gari, underwear kwa gari. Hicho ni Kiswahili kibovu cha kikenya. kwa inapaswa iwe kwenye. Samahani lakini.
Na wewe pia umejibu ndivyo sivyo.Hata wewe umeandika ndivyo sivyo mkuu. Toa kwanza kibanzi kwenye Jicho lako.