KAKA RAMOS
kwa jinsi hii story ilivyo huyo jamaa yako na prof lao ni moja na inawezekana huyo jamaa kamtoa sadaka mkewe ili alambe hiyo master,
kama si kweli bac dawa sahii kabis aya huyo Prof ni hii
JAMAA INABIDI AMWAMBIE MKEWE AMKUBALIE PROF NA KISHA WAENDE GUEST NA WAKISHAFIKA HUKO JAMAA INABIDI AFUMANIE NA KISHA AMLE KIBOGA HUYO PROF NA HUKU PICHA ZAPIGWA, BAADA YA HAPO AMWAMBIE KABISA HUYO PROF AKIMDISCO YEYE AU MKEWE BASI HIZO PICHA ATAZIWEKA ADHARANI NA KWENYE MITANDAO, HILO BONGE LA DAWA, UMWAMBIE ASISAHAHU KUTUMIA NDOMU