Wife anataka kunigeuza sex machine

Wife anataka kunigeuza sex machine

Dah kwa hiyo mwanamke kakushinda nguvu...yaan wewe ndio unachoka...bladfakeni kabisa...
 
Atakuwa ana wivu mzee, anataka akuchosheee hata ukienda pengine utakuwa huna maajabu
 
Kama huwezi kumaliza haja zake ni wazi kabisa mizani imegoma kubalance, tena kwenye hitaji nyeti

Mwa 2:18 BWANA Mungu akasema, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Tafakari, Chukua hatua!
 
Mkuu na weekend hii utakua umepeleka moto hadi magoti yote yameishiwa nguvu. Na bado wife anadai😂😂
 
Ni aibu kubwa kwa mwanaume kamili kusema nimechoka wakati wa kufanya mapenzi"
Na maji kuita mma..
 
Nikwambie kitu..mara nying nikiwa faragha na bibie...baada ya tendo anakuwaga kama anaumwa...atalala siku nzima..atasema mwil u amuuma..miguu haina nguvu etc...

Na hataman hyo kitu mawik na mawik..mim pia hiwa sitaman..ila huwa nataman mwanamke mpya

So nifupishe tu ...

Ni kwamba..ukiona mwanamke anataka mara kwa mara ujue humfikish kunakotakiwa ndomana hamu haiishi..

So raise ua game kaka....usilaumu mkeo
 
Back
Top Bottom