Wife chuchu zinamuuma, shida ni nini?

Wife chuchu zinamuuma, shida ni nini?

Nimechanga karata kujibu swali lako.

Nimechagua karata tatu.

King of Clubs
Utakuwa tajiri ghafla,labda baada ya kifo cha mwanafamilia au rafiki.

Biashara yako unayotaka kuanza hatua zake za kwanza zimekamiliika.

Queen of Diamonds

Inaonyesha mke wako anapenda kufanya uhuni kidogo,anapenda jamii,anapenda admiration and yet she is mature,ana akili ya biashara na ni good role model.

Jack of Hearts

Mambo yako yatakuendea vizuri.

Lakini labda bora usome Charaka Samhita.
Mkuu Ile kesi Yako imeisha ya kutakuwa kuondoka Mara mara moja!?
 
Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada.

Status:
Hajawai kuzaa
Hajawahi shika mimba
Hanyonyeshi
Hajawai kua na hilo tatizo
Mimba, hiyo mimba. Mimba kabisa hiyo.

Anza kufurahi kidume, mimba😎
 
Nipo Dar nimepumzika.
Ile kesi nimekuwa naitanzua mwenyewe na bado sijawahi,kama Polisi wanavyosema,kuita back up.
Nilikuwa Butiama Mkuu wa Wilaya akanifukiza nikaenda Arusha.
Mkuu wa Wilaya ananiambia Ondoka Butiama SASA HIVI,OR ELSE....
Well, nikaenda Arusha. Nimekaa Arusha muda mrefu sana.
Kumbe, unbeknown to me,nilipokuwa Arusha,yule Mkuu wa Wilaya na OCD wa kule wakafukuzwa kazi.
Halafu basi,watu hata wasiniambie kwamba yule mbaya wako amefukuzwa,kwa hiyo unaweza kurudi.
Kwa hiyo yule alifukuzwa kazi kwa vile kanitukana.

Lakini wale, they phrase it differently, wanasema yule Mkuu wa Wilaya na OCD wake,waliiba hela za Kijiji,ndio wamefukuzwa kazi.
Watu wanapenda sana kuzungumza maneno ambayo yanawaletea faraja.
But the truth is that wale wamenitukana mimi wamefukuzwa kazi.

Kwa hiyo nikarudi Butiama,in the timeless way,the old fashioned way,kwa kupatana na adui yangu.
Nikamuuliza,'Lady,I understand that you had a little quarrel with me? Why would that be?'
Akaniambia,"Oh no,sir,mimi sina ugomvi na wewe, lakini,Polisi walikuwa a little bit excited,na wamekufungulia jalada kituoni. Lakini mimi sina ugomvi na wewe."
Nikarudi. Since when have I been afraid of the poh- lice? Nikarudi.

Halafu nimerufi, matatizo yale yale yametokea na sasa nipo Dar.
 
Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada.

Status:
Hajawai kuzaa
Hajawahi shika mimba
Hanyonyeshi
Hajawai kua na hilo tatizo
Dah huyu naye kaoa, na mwanamke anajua ana mume. Hivi vitu sio vya kuleta huku bana, muulize hata mama yako akusaidie
 
Back
Top Bottom