Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

Wewe unasubiri masalia ya kwenye nguo za kufua, wenzio wanafanya timing kwenye wallet. Kwa sasa tunapata wakati mgumu kuhifadhi pesa kwenye wallet, kila ukicheki wallet asubuhi unahisi kama imelegea hivi. Kumbe kuna kiasi kadhaa kimeshachomolewa kupeleka sadaka kwa mchungaji.

Wanaume tunapigwa kila mahala aisee. Tukizeeka napo ni shida, mama anapewa milioni kwa kificho wewe unaachiwa buku 50, na kama kuna nafasi ya kwenda daresalamu au ulaya tiketi inayotumwa ni ya mama pekee.
 
Lala na pochi yako
 
Hii ndio jf
Mtu akiwa mgeni humu anaweza dhani kinachoongelewa hapa ni 5000 kwenye suruali
 
Hatimaye 5,000 imeonekana wakati wife anafua.

Miaka ya nyuma ilikua wakati wa kufua masalia ya hela yanaonekana mtu anapokagua kabla hajafua.

Kwa Mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015. Hela sasa imeanza kuonekana sio siri.

Kwa upande wangu kwa miaka 5 kun'guta na toa mifuko ilikua hukuti masalia ya hela wakati wa kufua.

Hatimaye leo 5,000 imeonekana.
Mkuu wewe ndiye 'wife' mwenyewe?

Na je 5,000 ikipatikana kipindi cha sachi ya kufua inarejeshwa kwa ba'watoto, au hata ile tu kutolewa taarifa?
 
Siwezi kufua nguo za mtu mimi. Mkeo ana moyo. Huo muda si angefanya mambo ya maana

Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k

Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aina hii ya uandishi hinifutia stress sana, mungu vile.
 
Back
Top Bottom