TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Duh, yani nguo zangu zifuliwe mtaani sio? Utafua tu, na K italiwa kwa muda wake.Siwezi kufua nguo za mtu mimi. Mkeo ana moyo. Huo muda si angefanya mambo ya maana
Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k
Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
Tufiakwa !![emoji9][emoji9]Siwezi kufua nguo za mtu mimi. Mkeo ana moyo. Huo muda si angefanya mambo ya maana
Mwanamke unapumzika wkend badala ugegedwe unaanza kujifulisha mwanaume anaenda zake nje kutafuta k
Watu wa kufua mtaani hata buku 2 unapata toeni ajira msave ndoa
Sifui kweli wkend Ni siku ya kupata rahaDuh, yani nguo zangu zifuliwe mtaani sio? Utafua tu, na K italiwa kwa muda wake.
ππKila mtu JF ana ndoa na watoto(na mie ni mtu wa JF ujue)πππ
kuna wakati unachangia ili mradi tu kujaza server,tuliza akili!JF kila mtu kaoa na kuolewa hakuna single wala bachela.
Kila mtu ana hela, gari, nyumba kali
kuna wakati unachangia ili mradi tu kujaza server,tuliza akili!
Nunua Ndege mkuu
Vipi umeolewa?JF kila mtu kaoa na kuolewa hakuna single wala bachela.
Kila mtu ana hela, gari, nyumba kali
Isingekuwa corona miaka 2 ingekuwa mingi kufanya uchumi u reboundAngalau ukiondoa hili janga la covid III mama kwakweli anakwenda vizuri na mitaani zimeanza kuonekana kidogokidogo na juzi niliona anarudisha leseni za wenye maduka ya kubadili fedha.
Hakika huyu tumuombee kwa mwenyezi mungu azidi kumuongoza ktk majukumu yake mazito na hasa katika kuturudisha kwenya maisha
Kwani simu ni lazima kununua? Kila siku unasafiri kwenda wapi? Bajaji na daladala nauli iko pale pale.Tusishangilie sana soon maisha yataanza kubadilika.Kwa hii bei ya mafuta iliyoongezeka kila kitu kitapanda bei, bado makato ya kwenye miamala ya simu hajaanza nasikia tarehe 15/7 ndo yanaanza, bado kodi za nyumba kwenye luku mbona maji tutaita " maa"