kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).
Sasa amerudi akaniona nimejinyoa, akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.
So wakuu, hii kesi naisolve vipi?